Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.
Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha?
Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naombeni jamani!
Pia soma: Wazoefu wa biashara ya boda...
Wapambanaji mambo ni vipi,
Mwezi unakata hata sijui nifanye biashara gani sababu kila nikicheki biashara ya kufanya sioni.
Nilikua najichanga changa mwezi uliopita nikapiga hesabu nikapata million sita na point kazaa ila sasa shida inakuja kwenye kuchagua biashara ya kufanya kwani sipati...
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano ---- Sehemu chombo kilipo
---- Mwendokasi wake
---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika
---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
Habari...Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26 na ninaishi Mbeya mjini..Natafuta Bajaji kwa ajili ya kufanya kazi ya kusafirisha abiria..Hivyo kama wew mwana Jf mwenzangu una bajaji na unahitaji dereva naomba unipatie mimi hiyo kazi..Ni mwaminifu na mchapakazi...Kikawaida kila siku kwa boss...
Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
Naombeni ushauri wenu katika hili. Mambo yamekuwa tight kidogo nlisafiri Tanga nimerudi now nataka kwenda Mwanza. Gari nilizo nazo zina CC kubwa na mambo yamekuwa mengi sitaki shida January watoto wawili wanasoma Int. school n.k
Sasa nmewaza nikagundua naumiza kichwa bure tu nina bajaji...
Habari,
Naitwa Daud Benjamin mhitimu Chuo Kikuu IFM Dar es Salaam mnamo mwaka 2019. Nina degree ya Social Protection. Kwa sasa ninaishi Mbeya. Dar es salaam nilihama kutokana na gharama za maisha kuwa juu sana na kukosekana kwa ajira. Nimetafuta ajira bila mafanikio mpaka sasa. Nilivyohamia...
Habari.Mimi naitwa David Benjamin.
NI muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo Dar as salaam ambapo nilipata degree ya Social protection and Actuarial studies.
Toka nimehitimu nimekua nikitafuta ajira bila mafanikio yoyote mpaka sasa licha ya kuwa na matokeo mazuri katika masomo. Nilifanikiwa...
Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniruhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani.
Natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa ajili ya kazi ya kubeba abiria. Namba zangu ni 0742783775
Heshima zenu wakuu, natafuta dereva wa Bajaji ambaye amejiunga Uber na Bolt kwa ajili ya biashara ya Bajaji. Awe mkazi wa dar maeneo ya Tabata, Mwenge, Msasani, Mikocheni au Kawe au maeneo ya karibu.
Dereva awe na leseni, kitambulisho Cha taifa, barua ya utambulisho na pia awe mchapakazi hasa...
Ilianza kazi tarehe moja mwezi wa tatu, ikafanya kazi miezi 2 dereva akazingua, so imepaki toka mwezi wa 5 , mwenyewe hataki tena biashara ya bajaji
📞 0758851175, 0713220021
Habari Wadau wa Jamii Forum,
Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.
Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji...
Salamu wana Jukwaa....
Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya Boda boda na Bajaji kuanzia mwezii wa 11 jijini Dar es salaam, naanza biashara hii baada ya kujibana kwa kipindi cha miaka 3 sasa.
Nimewekeza kiasi cha Milioni 10, nitaanza kwa Bajaji 1 na Boda boda 1. Nipata wazo hili huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.