Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge la Kumi na Mbili unatarajiwa kuanza Jumanne, tarehe 8 Aprili 2025, ukiwa na lengo kuu la kujadili na kuidhinisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Bunge leo, Aprili 7, 2025, ratiba kamili ya...