Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge la Kumi na Mbili unatarajiwa kuanza Jumanne, tarehe 8 Aprili 2025, ukiwa na lengo kuu la kujadili na kuidhinisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Bunge leo, Aprili 7, 2025, ratiba kamili ya shughuli za Mkutano huo itatangazwa kesho mara baada ya kikao cha Kamati ya Uongozi, na itapatikana kupitia Tovuti rasmi ya Bunge.