94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo bungeni.
Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22 imekadiria kutumia Tsh. Trilioni 36.26 na...
Mbunge Abdullah Mwinyi amesema Bajeti ya Serikali haijaunga mkono ipasavyo Sekta za Kilimo na Ubunifu ambazo zinategemea kuwapa Ajira nyingi kwa Watanzania.
Akichangia majadiliano Bungeni amesema, "Lazima turuhusu Ubunifu ustawi na tuulee, sekta hiyo kwa Tanzania ukilinganisha na Afrika...
Hivi bajeti aliyosoma Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ni final au ipo subject to changes kulingana na Bunge litakavoijadili na je, kuna chance kuwa inaweza kubadilishwa?
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022.
Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku.
NINA MAMBO MAWILI MKUU
1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.