bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Lodge nzuri Dodoma 30k ndo bajeti

    Wakuu naomba mniambie logde nzuri safi hapo Dodoma mjini kati.bajeti 30k.
  2. Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl. Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
  3. R

    Kwamba wabunge walipitisha bajeti ya kulisha Vura USA na Leo wanajifanya Wana uchungu na upotevu wa Fedha za umma? Stupid

    Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede. Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha wanashangaa na kujifanya Wana uchungu.....huu ni uzuzu. Kama walikuwa Wana uchungu wangekataa...
  4. L

    Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

    Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana. Inakadiriwa kuwa bajeti hiyo ya mwisho itakayoidhinishwa na bunge la nchi hiyo inaweza kuzidi dola...
  5. Mhe. Janejelly James Ntate Amechangia Hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu Bungeni.

    MHE. JANEJELLY JAMES NTATE MBUNGE WA VITI MAALUM ANAYEWAKILISHA WAFANYAKAZI NCHINI AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI MKUU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 06 Aprili, 2023 amechangia Hotuba...
  6. K

    Ongezeko Wakulima wanaonufaika na mikopo ya kilimo kwa mwaka 2022/23

    Katika hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu mapitio ya serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka 2023/2024 amesema mikopo inayotolewa na benki ya maendeleo ya kilimo imetoa shilingi bilioni 78.54 kwa wakulima 119,797...
  7. Ratiba ya Mkutano wa 11 wa Bunge (Mkutano wa Bajeti), Aprili 4- Juni 30, 2023

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuanza Mkutano wa 11 ambao ni wa Bajeti kuanzia Aprili 4, hadi Juni 30, 2023. Katika Mkutano huo, Maswali mbalimbali yataulizwa pamoja na Hotuba za Bajeti za Wizara Mbalimbali. Pia, mijadala kuhusu taarifa ya hali ya uchumi, Mjadala...
  8. R

    Waalimu wachangishwa pesa ya Mwenge; bajeti ya Mwenge inafanya kazi?

    Watumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote. Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti Viongozi WA halmashauri wote...
  9. Nataka kununua pikipiki Honda Ace 125 Individual. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya kwa level yake na bajeti?

    Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa. Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2. Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
  10. Kamati ya Bunge Yaidhinisha Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

    KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  11. Tsh. Trilioni 13 kwenye Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/24 ni Mikopo na Misaada

    Serikali inatarajia kuongeza 7% sawa na Tsh. Trilioni 2.9 ya Makusanyo kwenye Matumizi ya Fedha za Bajeti ya mwaka 2023/24 ili kufikia Tsh. Trilioni 44.38 kutoka Tsh. Trilioni 41.48 ya mwaka 2022/23. Tsh. Trilioni 26.72 zitakusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Kodi na kiasi...
  12. R

    Diaspora hawazungumzii katiba mpya, hakuna 'remittance' zao kwenye vitabu vya bajeti ya nchi; who are these diasporas? Ni kweli TZ ina diaspora?

    Ndugu zangu Diaspora tunapopigania uraia Pacha tuwe japo na data zakuonyesha mchango wetu kwenye uchumi WA Tanzania. Tuamue SASA kulazimisha remittance zisomeke kwenye vitabu vya hesabu, tukubali Kwamba huyu ndio wakati wa kuonyesha Tanzania ni Bora kuliko Taifa lolote na kwamba tulipoondoka Tz...
  13. Kinachoendelea Diamond Jubilee ni utafunaji wa Bajeti inayotakiwa kwenda kuboresha huduma za jamii

    Muda huu tarehe 10 Machi 2023, ninamuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makala akiongoza shughuli ya kumpongeza mama Samia kutimiza miaka 2 ya uongozi wake madarakani. Kumpongeza Rais kwa kutimiza miaka miwili madarakani ni jambo la kumpongeza lakini ni muhimu sana kuzingatia usahihi wa...
  14. Vote namba 20 ya Bajeti ina utakatifu gani dhidi ya katiba ya nchi?

    Tumemsikia kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo bwana Zitto pale Mbagala Zakhem akitueleza Watanzania namna mambo ya ajabu yanayoendelea Bungeni. Amesema kwa ufasaha kuwa kifungu namba 20 cha bajeti ambacho kina fedha za Takukufu, Usalama wa Taifa na matumizi binafsi ya Rais kimewekewa zuio na sheria...
  15. Natafuta perfume OG ya kike. Bajeti 50k

    Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa. Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi? Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
  16. E

    Valentine's day inaniharibia bajeti

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Nimeshapatikana mieee na tarehe 14 ndo hiyoooo... sawa ndo nimefall lakini baada ya kuorder zawadi ya Mr...design kama vile ni gharama.... no regrets, nina tafakari tu. Hili wazo na nyie wenzangu hamlipatagi hapa na pale??
  17. M

    Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  18. Mwigulu mzee wa proffesional ya uchumi. Kama pesa za Uviko zilijenga madarasa Mbona ulitumia bil 124 nje ya bajeti? Acha kumshambulia shujaa Mpina

    Kelele kibao na kejeli. Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe? Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi? Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza. Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
  19. Mwigulu Bungeni amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350

    Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge. Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi? Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania...
  20. H

    Wadau wa kanuni na sheria za fedha na bajeti za wizara bungeni,suala la matumizi ya fedha nje ya bajeti ya wizara limekaaje?

    Kazi iendelee kwema jamani. Jana nimemsikia waziri wa wizara mmoja bungeni akijibu swali kuhusu matumizi ya fedha nje ya bajeti.Amejibu majibu rahisi as if anawajibu watu wa gani sijui na kinachonishangaza wabunge wameridhika na kukaa kimya. Kitu kingine kinachonisikitisha ni kuwa sheria na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…