Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru.
Ipange (plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15. Wakati ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote.
Lakini pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na...
Habari zenu wakuu, naombeni mchanganuo wa bajeti ya kula mbususu kwa mwaka 2023.
Kawaida bajeti yangu huwa kama ifuatavyo;
1. Kama nitaila nyumbani basi ntaiandalia zawadi ya 20,000 - 200,000 kutegemeana na uzuri wa mtoto na mnato wa mbususu.
2. Kama ntalia lodge basi hapo itaongezeka 25,000...
Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni...
Habari za Leo
Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k
kwa ajili ya barber shop nipo DSM
Naomba kuwasilisha maana TANESCO imeamua kutupatia Umasikini na Serikali haipendi kuona raia...
Kuna clip ya Kibajaji nimekutana nayo mtandaoni ,eti bajeti ya wizara ya kilimo sasa ni bilioni 950.
Nimejiuliza Kibajaji amechukua figure za maandishi kwenye bajeti ya kilimo au fedha hizo zimeonekana wapi na zimefanya kazi gani?
Kibajaji hajui kuwa fedha zinazosomwa bungeni ni maandishi tu...
Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo.
Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya kwenda siku moja kabla ya mechi (yaani Jumamosi na kucheza Jumapili) ni hatari kimchezo...
Tushirikishane bajeti yako hasa nyakati hizi ambazo bidhaa muhimu kama nafaka zilivyopanda bei.
Je, wewe kwenye familia yako bajeti kwa siku ni shilingi ngapi?
Habari wakuu
Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo .
Au nicheki kwa 0713 039 875
Jedwali linaonesha serikali itakopa walau trilioni 12 na pengine misaada ifikie trilioni 2.4
Makusanyo ya ndani wameweka trilioni 28 lakini uhalisia haivuki trilioni 23. Kwahiyo mikopo ni zaidi ya nusu ya makusanyo yote.
Maana yake wakikopa hivi kwenye bajeti za miaka minne ijayo (ukizingatia...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022.
Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya wadau utafanyika siku ya Jumanne tarehe 20 Septemba, 2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Pius...
Utangulizi
Muonekano wa mji au jiji una nafasi kubwa sana katika furaha ya mtu, kuanzia kiakili mpaka kiuchumi. Sasa,ni muda sahihi, kuwa na mji ambao tutakutana na hewa safi, muonekano safi, bustani nzuri, miti bora ya barabarani na kivuli chake katikati ya mji.
Si wakati wa kukutana mara kwa...
Wakuu,
Ofisi, halmashauri, mikoa ,taasisi na mashirika ya Umma kuna hali ambayo haijulikani kuhusu uwepo wa fedha au.
Ukifika kufuatilia malipo unaambiwa mfumo haujafunguka.
Tangu July hadi September mfumo haufunguki.
Mwenye ufahamu kuhusu hali ya kifedha atujulishe tafadhali.
Habari za humu wadau,
Ninaomba muongozo kwa malegend jinsi gani ninaweza survive kwa mshahara wa 895k per month baada ya makato yote...chini hapa ni ufafanuzi wa jinsi naweza kugawanya.
1. Kodi 250,000
2. Mafuta ya gari 200,000
3. Wazazi 100,000
4. Matumizi etc 200,000
5. Saving ni amount...
Wakuu mambo vipi?
Mapema mwezi October nina ndugu yangu wa karibu anaoa huko Singida maeneo ya Itigi.
Ninapaswa kuhudhuria hiyo harusi sasa nauliza kwa wazoefu kutoka Dar mpaka Singida hapo Itigi niandae bajeti ya mafuta kiasi gani?
Gari ni Toyota Mark II grande engine beams 2000, cc 1990 au...
Katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na chanel ya ITV tarehe 16 May, 2022, Kamisaa wa Sensa Anna Makinda alihojiwa kuhusu zoezi la sensa, na moja ya kitu alichoelezea ni bajeti ya Sensa, ambapo alisema bajeti ya Sensa kwa mwaka 2022 ni Tsh bilioni 629.
Cha kushangaza jana tarehe 1...
Kiruuuuuuuuu, mtaani kwetu nyumba zilizohesabiwa hazifiki 8 na nyumba moja mtu anakaa masaa 5-6. This is a joke, hakuna aliyekuwa serious na hizi data labda baadhi ya maswali ambayo yatamsaidia mzee wa Singida Big Stars kuintroduce tozo mpya.
Huu ni upigaji mkubwa, kwa mwendo wa konokono...
Naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa niwasilishe maoni yangu ikiwa Kamati za Bunge zinakutana Dodoma kujadili masuala mbalimbali yanayohusu nchi yetu.
Naomba Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson aivunje Kamati ya Bunge ya Bajeti kutokana na Kamati hiyo kushindwa kusimamia masilahi mapana ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini.
Bahati mbaya sana Kamati hii imejificha na lawama zote zinaelekezwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan badala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.