Wana JF Naamini sote tu wazima.
Kwanza nianze na bajet ya mwaka jana.
Mwaka jana kulikuwa na stofahamu nyingi sana hasa baada ya bunge kuisha. Ilibidi kuongezwa kwa baadhi ya kodi ju kwa juu bila hata bunge kujua kama hiyo kodi ndio walikubariana ama la. Mfano ni Tozo za Miamala ya Simu...
Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?
Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake...
"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi"
"Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho...
Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa.
Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
Salaam Wakuu,
Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha.
Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo?
1. 2021, Serikali ilianzisha tozo kwenye uhamishaji wa fedha na tozo ya muda wa maongezi. Je Tozo...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22.
Kati ya matarajio ya bajeti...
Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu.
Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx?
Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.
Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4
Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni jijini Dodoma Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 8.2 ni Mishahara...
Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia.
Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
Kwa mwaka wa Fedha 2022/23, Waziri wa Utalii, Dkt. Pindi Chana ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Tsh. 624,142,732,000 ambapo Bilioni 443.7 zimeelekezwa katika Miradi ya Maendeleo na Bilioni 180.4 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida
Amesema Sekta hiyo imekuwa na changamoto...
Watanzania wengi vijijini wanalipa fedha nyingi zaidi kununua nishati ya mafuta, ambayo pia sio safi na salama. Kutibu kadhia hiyo, Serikali imebuni mradi wa uwezeshaji na uendelezaji wa vituo vidogo vya bidhaa za petroli kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana vituo vya mafuta kwa njia ya mkopo...
Salaam,
MWANZO
1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari.
2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza.
3. Kwa mara ya kwanza Kigoma na Katavi kuanza kupata Umeme wa Gridi ya Tifa.
Akisoma Bajeti hiyo, Waziri wa...
Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na Magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba.
Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha.
Mara walie mara wapige sarakasi mara...
Moja kwa moja kwenye mada.
Na declare interest mapema,mimi Niko kwenye industry ya construction hususani civil works, na naishukiru Serikali walau kwa kuongeza bajeti ya Tarura kutoka Bil.272 kwa miaka 5 iliyopita hadi bil.802 mwaka huu 2022/23.
Pamoja na hayo Nimepitia bajeti za Ujenzi wa...
Habari wakuu.
Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)
Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.