Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Makurumla,Bakari Kimwanga, amechukua fomu kitetea nafasi hiyo ambayo ameiongoza kwa miaka mitano iliyopita
Leo Juni 29,2025 amekabidhiwa fomu na Katibu wa Kata wa CCM Makurumla, Omari Suleiman Bakari.
Akizungumza baada ya kukabidhi fomu hiyo, Kimwanga ambaye pia ni...