bakwata inamuwakilisha nani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maswali 11 yenye utata: BAKWATA ilianzishwa na nani?

    Kwanza kabisa huu uzi sio wa nia mbaya yoyote ile nimeanza kulisema hili mapema waswahili wanasema kuuliza si ujinga tunauliza ili tujifunze na kwa nia ya kujipatia elimu na maarifa Na mimi nimeona nijifanye sijuwi lolote ili nielimike. Naombeni mnijibu maswali yafuatayo ambayo yananipa utata...
  2. JamiiForums Tanzania BAKWATA ni mwakilishi halali wa Waislam wote?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni kwanini serekali imekuwa ikiitambua BAKWATA kama mwakilishi halali wa Waislam wote Tanzania wakati wapo Waislam wengi wasioitambua au wasiofungamanana na BAKWATA. Yapo madhehebu tofauti tofauti katika dini ya kiislam [Shia, Sunni, nk] kama sikosei BAKWATA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…