Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Tabora limepiga marufuku wahubiri na wahadhiri wa kiislamu kutoa matamko yanayoweza kuzua taharuki kufuatia vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29.
Akizungumza wakati wa sherehe za Watoto waliohitimu mafunzo ya Quran Mkoani...