balaa

Balaa (Urdu: بلا, lit. 'Monster') is a 2018 Pakistani thriller television series aired on ARY Digital. It is produced by Fahad Mustafa and Dr. Ali Kazmi under their banner Big Bang Entertainment. It stars Bilal Abbas Khan, Ushna Shah, Azekah Daniel, Samina Peerzada, Sajid Hassan, Ismat Zaidi and Mehar Bano. The series follows the story of a limping girl who destroys the lives of people around her due to her own insecurities and imperfections.

View More On Wikipedia.org
  1. Majighu2015

    Hata kama ni njaa ila hili ni balaa sasa. Dada zetu hivi mnatuchukuliaje?

    Yani mtu mmeanza kuchati tu ghafla umeshaitwa "My" na invoice juu. Hivi hawa viumbe wanatuchukuliaje? Nilichokifanya nimempa block tu, sitaki ujinga.
  2. Hance Mtanashati

    Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

    Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr. Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana. Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati...
  3. JF Member

    Cement imepanda bei balaa, naambiwa kuna tozo ya Serikali haijaanza kutozwa

    Embu twambie huko kwenu inauzwaje? Niko hapa Dar. Cement ni kati ya 16,500 n 18,000. Mishahara iko palepale. Tunauliza; Tutajenga kweli?. Naambiwa kuna TOZO ya Serikali haijaanza kutozwa - Sijui ni ipi hiyo.
  4. M

    Shairi: Usiwaze ya pekee, waza na ya wengineo

    1. Naanza ona mikasa, yawezaleta balaa, Viongozi wengi tasa, kwa hoja zisizo zaa, Hasa kwa Wana siasa, wao ni kama tabia, Wajifanya ni matasa, wafanyacho wakijua. 2. Ni kutafuta majanga, kuvunja mzinga nyuki hi, Mambo tunayoyalenga, mbele yataleta chuki, Badala sisi kujenga, wengi twatafuta...
  5. Nyuki Mdogo

    Elimu ya hii nchi ina balaa kubwa katika elimu. Hebu ona hizi Combination

    Kuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
  6. MK254

    Ukraine wafaulu kukomboa eneo la Piatykhatky - mapambano balaa

    Supapawa aendela kushindwa kuzuia mawimbi na mapigo ya wanajeshi wa Ukraine, aachia eneo la Piatykhatky..... Ukraine has captured the village of Piatykhatky on the western edge of the Zaporizhzhia front, according to a Russia-appointed official and sources, the first village recaptured by...
  7. Roca fella

    Balaa la zawadi

    Basi akanilaumu sana akatoa lawama za kutosha, ya kwamba kwanini nilimtendea vile, lakini haikuwa kosa ni moja wapo ya kutekeleza jambo husika. Turudi nyuma kwenye stori za maisha yetu ya kila kukicha, hapo awali niliwahi kupanga chumba katika moja ya jiji nchini tanzania, katika hiyo nyumba...
  8. sky soldier

    Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

    Usije kujidanganya hata siku moja kwamba mwanamke atakupenda kuzidi watoto au mtoto wake, tena yule wa kwanza huwa ana nafasi yake maalum huwezi mwambia mwanamke chochote kuhusu mtoto wa kwanza aliejifungua, huyu ndie anampa heshima kwa mara ya kwanza kuitwa mama. Na ndio hapa tunapotoaga onyo...
  9. Mamujay

    Niko kwenye basi lina mende balaa sheria zinasemaje

    Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
  10. mfate42

    Kuna wanawake kweli pasua kichwa aisee, dah balaa

    Yan mda wote anataka akuone ndani Kama msukule vile, wanawake nani aliewadanganya kuwa mwanaume anachungwa kama mbuzi? Nimeaga nna appointment na wanachama wenzangu imekuwa nongwa, kavuta mdomo balaa. Ukitoa taarifa tabu, usipotoa taarifa ndo Vita kabisa ya urusi na Ukraine dah. No body is...
  11. BARD AI

    Ripoti: Ushuru kwenye 'Bando' za Intaneti' ni balaa Tanzania

    Ripoti ya robo mwaka unaoishia Machi 2023 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha gharama za ushuru wa bando la intaneti zimeongezeka ikiliganishwa na kipindi kama hiko Machi 2022. Machi 2022 kwa kila MB moja ushuru uliokuwa unakatwa ni shilingi mbili ambayo imeongezeka hadi...
  12. MK254

    Dawa za kuongeza nguvu za kiume zakua dili Urusi, wanaume wana msongo balaa

    Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
  13. Joannah

    J Melody una balaa

    Huyu kijana Ni fire Sana, mashairi yake yana mvuto Sana, ye mwenyewe ana mvuto Sana, kifupi mziki unamnogea.... Hongera kwa kazi nzuri kijana. Ova
  14. Pang Fung Mi

    Kuna wanawake ni balaa wanajua kila namna tunavyoficcha pesa tukilala nao guest houses/lodges/hotels

    Hello JF, 👇👇👇 Juzi Kati hapa nimekoma nimeingia lodge na manzi mmoja mitaa ya area D hapa Dodoma, nilivua suruali mbele yake nikaitundika kwenye enga ukutani, si akashangaa akauliza au ushaficha pesa zako kwenye socks, pillow, uvunguni, kwenye godoro. Pombe mbaya sana ilinisaidia kumjua...
  15. Mkanganyiko kukanganya

    Balaa la kuazimisha gari!!!

    Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam 😁 automatically Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la...
  16. F

    Mirathi ya nyumba iliyojengwa na mjane yazua balaa; ukoo wa mume na ukoo wa mke wanaigombania

    Habari wadau. Kama mnavyojua suala la mirathi linavyotolewa macho hapa Tanzania. Jirani kwetu kuna mama amefariki na kuacha nyumba nzuri tu na hajaacha mtoto hata mmoja. Historia ya huyu mama (kabila mpogoro) mwaka 1991 aliolewa kwa ndoa ya kanisani na mume wake (kabila mchaga) Baada ya...
  17. Rabonn

    Askofu kazua balaa ibadani

    Habari ya asubuhi wadau, samahani kwa kuleta uzi asubuh asubuh kama hivi siku ha kazi 😁. Leo nilikua nikiendelea kutafakari tukio moja limejitokeza siku ya jumapili ya juzi tarehe 16 January hukooo kanisani kwetu "Assemblies of God" likaweka sintofahamu kubwa sana kwenye nafsi za sisi wengine...
  18. MR LINKO

    Sikia kwa jirani ila constipation ni balaa

    Habari wakuu natumaini wote ni wazima. Iko hivi nilitoka nikaenda village ndani ndani kabisa kiasi kwamba hata huduma za kawaida kuzipata ni mpaka upande boda boda maana hata usafiri wa gari hamna na unakuta nauli ni kama 7000 hivi kama wakikuonea huruma basi ni 5000 kama unaenda na kurudi...
  19. Baba jayaron

    Kaniachia balaa mtoto wa msumbiji

    Wanajamvi jamvini, Huu u single unanipeleka kubaya hatari maana na kila demu mbele yangu siachi na walivo maji mara moja sasa daa unatongoza jioni usiku unakula. Sasa nikiwa na mademu zangu wa wiwili nikitafuta ufundi zaidi si nikakutana na mtoto wa kimakonde anajidai wa msumbuji, ilo balaa...
  20. Boss la DP World

    Hizi pisi za mitaa ya Airport Dodoma ni balaa

    Wakuu kama nilivyo wajuza kuwa nimehamishiwa Karagwe kikazi, nimepitia Dodoma kukamilisha kazi fulani kabla sijaenda kuripoti Karagwe. Leo nimepata hamu ya kutembeza bakora nikapewa chimbo moja mitaa ya Airport, aisee kuna mademu wakali sana, bei ni 5000 vichakani, nikaona sio kesi nikachagua...
Back
Top Bottom