balance diet

  1. Brojust

    Hiv Dagaa mchele zina kazi na umuhimu gani mwilini?

    Wazaramo habari zenu. Sisi wa bara Tulivyokuja huku pwani ya Dar-es-salaam ndio tukajua hii mboga inaitwa dagaa mchele. Sawa tunajua kwenye utafutaji kigetogeto lazima ushawahi kula sana Dagaa mchele, mixer tembele na ugali. Sasa leo nimewaza na nimeumia sana juu ya aina ya ulaji wetu sisi...
  2. mwehu ndama

    Tukifuata ushauri wa Professor Janabi tutaangamia kwa njaa

    Wasalaam wakuu! Kwanza kabisa Nakubaliana na ushauri wote wakitabibu kuhusu aina sahihi ya chakula na namna nzuri ya ulaji kutoka kwa Daktari bingwa na mkuu wa kitengo cha magonjwa ya moyo professor mohamed Yakub Janabi. Namimi baada yakumsikiliza na kuanza kufuatilia miongozo yake nikaamua...
Back
Top Bottom