balozi

Baloži (pronunciation ; German: Rollbusch) is a town of Latvia situated in the Ķekava municipality just 12 kilometres from the centre of Riga. In 2020, the city had a population of 6,829.
Baloži was founded soon after the Second World War; as a village at the time, it was developed for the nearby peat factory workers. The oldest part of the town is built in a Stalinist style. During the 1970s, territory of the village was expanded towards the A7 highway. During the 1980s this part was built as a modern residential district and called Titurga. In 1991 Baloži received town rights. After the Latvian administrative territorial reform of 2009, Baloži became part of Ķekava Municipality and thus became one of the few Latvian towns which are not municipal centres.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Maxence Melo: 2017 niliwahi kufuatwa na watu wasiojulikana ila Balozi wa Umoja wa Ulaya akaninusuru!

    Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi. Kweli nchi ilikuwa ngumu sana...
  2. K

    Rais umekosea kuwakilishwa na Balozi kwenye mkutano wa EAC kuhusu Congo

    Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya...
  3. beth

    Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

    Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya...
  4. chiembe

    Vyombo vya habari Malawi vyajiwinda kumsubiri balozi Polepole aanze kusakata sebene, vimuandike, viuze magazeti

    Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
  5. beth

    Macocha Moshe Tembele ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Macocha Moshe Tembele kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia Balozi Tembele alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataita (Multilateral Cooperation) kabla ya kuteuliwa na Rais Samia
  6. Camilo Cienfuegos

    Tanzania iliwahi kumkataa Balozi wa Zambia nchini

    Ni baada ya jina la balozi huyo kuwa na maana mbaya kwa lugha ya kiswahili nchini Tanzania. Kumbe jina linaweza kukunyima ulaji.
  7. M

    Huu sasa ni ushenzi: Balozi wa Urusi nchini Poland amwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu

    Hii imevuka mipaka!! Balozi wa Urusi nchini Poland alimwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu wakati akiwa katika harakati za kuadhimisha ushindi wa Jeshi la Urusi dhidi ya majeshi ya kinazi ya Hitler. Alimwagiwa na waandamanaji wa kike wanaopinga vita nchini ukraine. Hili tukio lilitukia jana...
  8. JanguKamaJangu

    Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  9. figganigga

    TANZIA Balozi Emanuel Ole Naiko afariki Dunia Dar

    Familia ya Emmanuel Ole Naiko inasikitika kutangaza kifo cha BABA YAO, BALOZI EMMANUEL OLE NAIKO kilichotokea leo 30/03/22, nyumbani kwake Bahari Beach, Dar es Salaam. Habari ziwafikie wana familia waliopo Dar es Salaam, Monduli-Arusha na kwengine kote. Balozi Ole-Naiko amewahi kushika...
  10. Valencia_UPV

    Balozi zetu toeni fursa kwa Wajasiriamali

    Inashangaza Sana Balozi zetu huko ughaibuni hazitoi taarifa za fursa zilizopo huko. Fikiria nchi za Middle and Far East zilivyo na fursa ya Ajira, chakula na Ujenzi Ila wenzetu ubalozini wametulia tu. Qatar World Cup 2022 inakuja Ila utakuta hawa ndugu zetu hawana huo muda. Why? NB: Ubalozi...
  11. Roving Journalist

    Waziri Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Ahmad Al Homaid

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo tarehe 24 Machi,2022, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Mhe. Balozi Hussain Ahmad Al Homaid Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao pamoja na mambo mengine wamezungumzia ushirikiano wa Nchi hizo mbili katika...
  12. Analogia Malenga

    Mwanamageuzi mkongwe wa Urusi Chubais ajiuzulu kama balozi wa Putin

    Pamoja na kukwama kwa wanajeshi wa Urusi kusonga mbele vitani nchini Ukraine , Rais Putin anaonekana amepata pigo kutoka ndani ya Kremlin yenyewe. Mmoja wa washauri wake, Anatoly Chubais, amejiuzulu kutoka jukumu lake kama mjumbe wa kimataifa - afisa mkuu zaidi kujiuzulu tangu kuanzishwa kwa...
  13. Sky Eclat

    Mheshimiwa Balozi Polepole akiwa darasani

  14. Mohamed Said

    Kumbukumbu za Balozi Mwapachu: Kitabu Kipya

    KUMBUKUMBU ZA BALOZI JUMA MWAPACHU Balozi Juma V. Mwapachu amechapa kumbukumbu zake.
  15. EINSTEIN112

    Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

    “Mheshimiwa Balozi (Polepole) najua baada ya hapa watakuweka darasani kwanza pale Chuo cha Diplomasia utakapotoka pale kabla hujaenda Malawi nitakutana na wewe, kwa hiyo tutazungumza kwa kirefu” amesema Rais Samia Suluhu Hassan kwa kifupi akimuelekeza Polepole baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa...
  16. Baraka Mina

    Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kindamba...
  17. Mohamed Said

    Siku ya wanawake duniani: Balozi Ami Mpungwe azungumza

    Baada ya kumsoma Balozi Mpungwe nami nikaona nitie langu kumuunga mkono lakini si leo bali kurejea nyuma miaka mingi sana nikiwa na umri wa miaka 15 mwanafuzi wa sekondari: Ujumbe mzito. Nashukuru mimi niliyajua haya ya uwezo wa akina mama miaka mingi sana nyuma nina umri wa miaka 15 na ninae...
  18. Roving Journalist

    Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

    "MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA "Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana kwasababu haiwezekani mwanafunzi mtoro aandike barua kama hiyo, nikamwambia mkuu wa mkoa wa Mtwara...
  19. beth

    Zanzibar: Balozi Mohammed Mzale ateuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Uteuzi wa Balozi Mzale umeanza leo Februari 18, 2022
  20. John Haramba

    Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji. Balozi amepost picha ya...
Back
Top Bottom