Wasalaam.
Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema
Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika.
Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great thinkers, niliwasiliana na BOT kweli baada ya weekend balance ya mkopo ikatoka ikiwa na limit ya wiki moja...
Ni baada ya kuhangaika huku na huko bila kupata mkopo wa kuendeleza biashara yangu hatimae nikakutana na hii Banc ABC wakanipatia mkopo wa miaka miwili Ila kwa makubaliano kuwa nikipata pesa yao kabla ya huo muda naweza kulipa pesa yao tukaachana.
Kweli nilipambana kwa namna yangu na Hali yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.