Jana Simba ilimpa mkono wa kwaheri Peter Banda. Katika tukio nitakalomkumbuka zaidi ni katika mechi ya Simba vs Singida ya msimu uliopita, ambapo alifunga goli halafu baadae akaumizwa.
Tukio lenyewe lilikuwa ni kanzu moja matata sana alimpiga mchezaji wa Singida. Nakumbuka niliwahi kumpiga...