Bando (Burmese: ဗန်တို, pronounced [bàɰ̃dò]) is a defensive unarmed martial art from Myanmar. Bando is sometimes mistakenly used as a generic word for all Burmese martial arts, but it is only one martial art; Burmese fighting systems collectively are referred to as thaing.
Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu.
Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo.
Njia pekee ya kufikisha...
Habarini za muda huu wana jukwaa!?, mimi ni mjasiriamali mdogo ninae jihusisha na kuuza bando za halotel internet za mwezi mzima, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, 0621599120(whatsap only)…karibuni sana kwa huduma na mchanganuo wa bando hizo na gharama zake ni kama ifuatavyo!
*Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu
*Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo
Na MWANDISHI WETU,
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.
Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea...
Huu mwaka kama wa 10 sasa toka nianze kumilik simu janja, naona mbs na gbs zinaishia tu kucheki ushilawadu tu katika mitandao ya kijamii
Naomba msaada kwa wanaotumia mbs kujiingizia kipato lakini zitaki kupitia michezo ya kamali.
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.
Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
Hizi meseji za mitandao ya simu kujulisha bando ya internet imeisha zinakera sana.
Kuna haja gani ya kutuma meseji tatu usiku wa manane kwani bando ikiisha sinitajua mbaya zaidi zinakuja sms tatu kwa mfululizo unaweza kupuuza kwa kudhani ni SMS za mtandao ila ukiacha kusoma na umesikia ikiita...
Wasalaam wanaJf ,
Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape.
Swali langu ni hilo !
Habari wadau.
Kwa wale mashangazi na wajomba nazani tunajua kwamba miaka 12 iliyopita hakuna aliekuwa anaijua instagram.. facebook ndio ilikuwa inatamba kitambo ikisaidiwa na youtube.
Miaka ya 2013 na 2014 ndipo instagram iliteka kwa kishindo wa Tanzania. Watu wa mwanzo mwanzo kudominate...
Muhimu: usiweke porn
Ukitaka ku enjoy zaidi lipia, vya bure vingi vina vikwazo, vimechuja, havina quality, n.k.
Netflix - 10,000, hii ni bei ya vishoka, bei halisi ni 20K.
A sports HD - 2,000, match za Tz, Caf, Epl, Uefa, n.k.
Alldebrid - 9,000 - kustream na kushusha torrents moja kwa moja
Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb.
Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando?
2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema?
3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima, ila nyie fidia yenu ni kwa masaa 24 tu, tena kuanzia usiku wa manane?
4. Hivi ni kwa kutuona je enyi...
Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?
Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga...
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani, mathalani Facebook, X, Instagram, JF nakadhalika?
na unatumia sana platform hiyo na data kubwa sana kwa...
Wakuu kwema? Pasaka inaenda vyedi? Wenye mko kwenye mfungo, swaumu njema.
Jamani bando ni gharama ni gharama si mchezo hasa kwa watu wanaotegemea bando kufanya shughuli zao, kama mnavyojua mambo mengi sasa hivi yanamalizika mtandaoni.
Bando ni gharama kubwa sana, na hazikai! Unaweka bando la...
Bado kuna watu wanaamini ili uwe na exposure lazima uende abroad kwa dunia ya science na technologia unahitaji tu simu yako ya smartphone na bando utajifunza jambo ambalo unalitaka
Sikatazi watu kwenda abroad kama umepata nafasi ni vizuri ila kama hujapata wekeza mda wako kwenye kuperuzi mambo...
Airtel katika bando la internet si wezi tu ni majambazi yasiyo na haya. Nchi hii wananchi wanaibiwa, wananyanyaswa hakuna mtetezi.
Wakubwa hawafanyiwi hivi hawawezi kustuka. TCRA wako pale, waziri yuko pale hawana msaada kwa wananchi. Unaweka bando hata hujatumia unaanza kupokea msgs kuwa bando...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.