bando

Bando (Burmese: ဗန်တို, pronounced [bàɰ̃dò]) is a defensive unarmed martial art from Myanmar. Bando is sometimes mistakenly used as a generic word for all Burmese martial arts, but it is only one martial art; Burmese fighting systems collectively are referred to as thaing.

View More On Wikipedia.org
  1. Alez von lumor

    Vodacom acheni wizi aisee mtatuua kwa presha

    Yani mtu unastress zako za hapa na pale unahangaika kupambana na maisha ya kila siku ili mradi mkono uende kinywani Una biashara yako umekwama sehemu flani, ukaamua kuchukua buku ukanunue bando uingie JF uombe ushauri na kupata uzoefu tena buku uliotafuta kwa jasho lako aisee yaani you got...
  2. G

    Nina kopi moja tu ya picha private, video private, pdf za mali, vyeti, leseni, n.k. njia gani nzuri ya kufanya backups mpya kila wiki bila bando?

    Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena. Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Uhalisi wa bei za bando la internet dhidi ya wastani wa kipato cha mwezi cha kila Mtanzania

    Kwanza kabla ya yote naomba kusema kwamba nchi ya Tanzania ndio yenye bei ya chini zaidi ya bando za internet katika ukanda wa Afrika Mashariki. Pili ukichukua wastani wa mshahara wa kila mwezi, inaonekana watanzania ndio wanalipa asilimia kubwa zaidi ya mapato yao katika kununua bando la...
  4. Ben-adam

    Hii simu inanirahisishia maisha kwa kiasi fulani, natumia bando la 10k tu kwa mwezi!

    Wiki iliyopita nilipita duka fulani hivi la simu nikiangalia kisimu cha kutunzia laini zangu. Jamaa walinishawishi ninunue haka ka itel ka laini 3 dah! Nataka nikamuongezee hela alieniuzia maana naokoa sana bando langu😅 See this evidence 🤸🤸
  5. R-K-O

    Simu ya milioni 1+ ila unahangaika na bando, utafaidi kweli? Kwanini usinunue simu mid range ya kati halafu hela inayobaki uwekee kwenye bando?

    Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza. kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo yanafuata. ni sawa na gari inabidi ununue kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, bei za spare, gharama za...
  6. R-K-O

    Kwa mara Nyingine tena Nimechunguza uwiano wa bando nalolipia na matumizi halisi niliyotumia kwa mwezi, ungana nami katika matokeo ya Research

    Mtandao : TIGO Bando / Kifurushi – Tigo Post-Paid 80 GB / Elf 60 Kila mwezi. (mawasiliano natumia mtandao mwengine kwasababu naitumia namba hio tangu 2006, naunga bando la elf 10 mitandao yote ) Kifaa nachotumia ni Router ya Tigo Nipo Dsm, Mbezi Louis Nimeanza kuhesabu from scratch (0 KB)...
  7. Mchochezi

    Kwa mwezi unatumia bando la Internet la sh. ngapi?

    Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? Tushirikishe
  8. benzemah

    Rais Samia aagiza mapitio ya tozo ili kupunguza gharama za bando

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa kupitia Clouds TV ameeleza kuwa Rais wa Tanzania; Dkt Samia Suluhu ameridhia kufanyika kwa mapitio ya baadhi ya tozo ili kupunguza gharama za Bando kama ambavyo watanzania...
  9. Ali Nassor Px

    SoC03 Malalamiko ya Bando na Huduma nyingine za Mawasiliano, tatizo kuu ni Kutofuata Misingi ya Utawala Bora, na suluhisho ni hili

     UTANGULIZI TCRA NI NINI ? Ni mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali inayosimamia sekta ya mawasiliano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka Mawasiliano Tanzania namba 12 ya mwaka 2003 baada ya kuunganishwa Tume ya Mawasiliano...
  10. benzemah

    Rais Samia : Gharama za Bando Kushuka kwa Lazima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
  11. Teko Modise

    Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

    Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid. Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
  12. BARD AI

    Ripoti: Ushuru kwenye 'Bando' za Intaneti' ni balaa Tanzania

    Ripoti ya robo mwaka unaoishia Machi 2023 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha gharama za ushuru wa bando la intaneti zimeongezeka ikiliganishwa na kipindi kama hiko Machi 2022. Machi 2022 kwa kila MB moja ushuru uliokuwa unakatwa ni shilingi mbili ambayo imeongezeka hadi...
  13. 2013

    Mitandao ya Simu inavyotuibia Bando za Intaneti

    Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa. Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G. Lakini haujamaliza Dk 5...
  14. J

    Ajira za posta clerk zenye deadline tarehe 02/03/2023 majina ya wasailiwa yanatoka lini?

    Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi...
  15. Ultimate

    Vodacom wamesitisha huduma ya kuhamisha bando kwenda namba nyingine bila taarifa

    hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii...
  16. Last Seen

    Tigo Bussiness waboresha bando zao, ujazo mkubwa, gharama nafuu

    Tigo wameboresha Vifurushi vyao vya malipo ya baada kama ifuatavyo. DATA ONLY 15K......15GB 30K......35GB 40K.......48GB 60K.......72GB 100k........120GB COMBO 15K........10GB + dakika 400 30K........25GB +Dakika 1000 40K.......35GB + Dakika 2000 60K........55GB + Dakika 3000 100K......100GB...
  17. Hemedy Jr Junior

    Hivi nini kwelii 2PAC bando anaishi au?

    Msanii 2pac aonekana Malaysia
  18. Binadamu Mtakatifu

    TTCL bando bure?

    Wale wa slope nasikia wenye ttcl wanaseleleka bure now, hali ikoje huko?
  19. JF Member

    Gharama za Bando la internet ziko juu na linaisha mapema sana

    Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile. Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo. Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana. Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye...
  20. Analogia Malenga

    Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando. Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka...
Back
Top Bottom