Miaka ya themanini huko iringa palikuwa na mbunge anaitwa Tuntameke Sanga. Mheshimiwa Tuntameke Sanga alipeleka mara kadhaa hoja mbungeni akiomba jimbo lake WANANCHI waruhusiwe kulima bangi. Sababu aliyoitoa ni kwamba katika Jimbo lake ni jadi tangu awali WANANCHI hutumia mbegu za bhangi kama...
DODOMA:
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka...
Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara.
Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu!
Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
Habari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni.
Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa...
Ni swali critical linalohusu kuichimba akili ya muhalifu (criminal mind investigation) anaelima madawa kwa mrengo wa kiuchumi na hatari / risks za biashara haramu wanazofanya.
Kilimo cha madawa ya kulevya ni haramu kwa sheria za Tanzania, ukilima bangi kuna mvua ya miaka 20+, ukilima cocaine...
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu.
Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo:
1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa
2. Huduma za kisaikolojia...
Mtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli)
Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar.
Mshtakiwa amekata shtaka lake.
Mtuhumiwa yupo Rumande hadi tarehe 19.11.2024 kwa kutajwa.
Tangu mwaka 2018, nimekuwa nikitumia bangi kama sehemu ya safari yangu ya kubadilisha maisha. Nilipoamua kuacha pombe, ilikuwa uamuzi mgumu lakini wa lazima.
Kila nilipotazama mustakabali wangu, niliona wazi kuwa ulevi ungeweza kuangamiza malengo yangu. Nilipomaliza masomo yangu Mbeya mwaka...
Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya kihistoria kwa muda wa wiki tatu katika wilaya ya Tarime na Serengeti, mkoani Mara kwa lengo la...
MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa.
Katika...
Ujenzi wa kiwanda cha kusindika bangi katika Wilaya ya Musanze, nchini Rwanda umefikia asilimia 70% hadi sasa huku mradi huo ukitarajiwa kukamilika mwezi septemba mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa KKOG Rwanda, Rene Joseph ameliambia gazeti la New Times la Rwanda na kuongeza kuwa ujenzi huo...
Bangi inafaida kuliko inavyozungumzwa na wala haina madhara kama inavyozungumzwa. Ndani ya bangi kuna kemikali moja nzuri sana ambayo inasaidia kuongeza hamu ya kula. Baada ya wataalamu kuona faida hiyo, wakaiga kemikali hiyo na kutengeneza dawa ya kusaidia kuongeza hamu ya kula. Dawa hiyo...
Bangi ni zao jema.
Cha kushangaza hapa kwetu inapigwa vita na Dola kwenye matumizi na uzalishaji wake.
Rwanda jirani yetu ameingiza $3.7 billion Kwa mwaka kutokana na zao hili.
Inashangaza tunaruhusu kilimo cha tumbaku ambayo ina madhara makubwa kuliko bangi na Kwa Sasa soko la sigara...
Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi)
Naomba tuelewane kuwa hata petrol ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wetu lakini wapo watu ambao huitumia...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuteketeza dawa za kulevya aina ya bhang hekari kumi Pamoja na kukamata maguni themanini ya dawa hizo huku Jeshi hilo likibainisha kuwa litaendelea na operesheni kali ya kuwasaka wale wote walio kimbia na wanaojihusisha na biashara hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.