Kuna vijiji ukipita huko tarime unaweza hisi awako tanzania wako na nchi yao
Hivi vijiji kuna mashamba mengi na kwa pembeni mtaona miwaa imezunguka
Ukibahatika kuingia ndani unaweza dondoka gafla n bangi za kufa mtu
Siohilo wananchi wamefikia hata kuvuna bila uwoga na kupeleka mzigo mpaka...
Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba amemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene kuwaruhusu wakulima wa bangi kuiuza katika kipindi cha miezi sita.
Amesema kwa sasa wapo wakulima wa bangi wanaoshindwa kuiuza kwa kuwa kilimo hicho hakiruhusiwi nchini, na kutaka ambao...
Leo Ni siku ya jumapili ya mwisho wa mwezi January, napenda kuchukua nafasi hii kuongea na vijana, mtakumbuka miaka ya 1990 ni kipindi ambacho vijana wa shule ya msingi walikuwa vidume....
Vidume vikongwe vikiwa vinasoma msingi....na Mimi nikiwa kijana mdogo nilijifunza tabia zao ikiwemo kuvuta...
Honestly speaking haya matatizo yananitesa sana nayo ni kutokujiamini, sijikubali, upweke na stress kupitiliza.
Ni kijana wa early 20 nimeajiriwa kampuni fulani ambayo inanibidi ni interact sana na watu hasa raia wa kigeni, but tatizo linakuja kuwa sijiamini kabisa kitu ambacho kimepelekea...
Huwa napenda sana baada ya kugonga msosi wa nguvu mchana mida ya saa saba, naingia chemba naulipua mjani wangu msumari mmoja tu mnene.
Nikishaumaliza muda huo huo napiga mswaki kisha naelekea kwa mshkaji wangu mmoja hivi kwake pana kamwendo hivi. Sasa na lile jua la mchana mixa na mjani dry...
Hilo ni swali ambalo Mmiliki wa liverpool John w.Henry aliwahi kuuliza hasa msimu wa 2012/2013 pale ambapo Arsenal walitaka kumsajili Suarez kwa Paund mil. 40 wakaambiwa waongeze hela wakaongeza Paund mil. 1 na kuwa 41! Yeye W. Heny aliwaona kama mateja wasiojielewa wanataka nini!!
Nimeikumbuka...
Serikali ya Zambia imehalalisha kilimo cha bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba.
Kwa hatua hiyo, taifa hilo linakuwa la hivi karibuni kabisa katika kuridhia matumizi ya bangi. Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji mkuu wa serikali ya Zambia, Dora Siliya, idhini ya kufanya biashara ya bangi...
Kila nikijiuliza sipati jibu, juzi hapa nimekutana na ndugu yangu hatujaonana kitambo sana. Katika kupiga stori akaniambia kati ya sigara au bangi kuna kimoja unatumia. Nikamuuliza umejuaje? Akasema nimeona tu mdomo mweusi.
Sasa hawa wenzetu kina Bob Marley, Snoop Dogg, Wiz khalifa, Obama, Lil...
Kundi la wanasayansi, watafiti na wajasiriamali limesema bara la Afrika linaweza kufikia kuwa mzalishaji mkubwa wa bangi inayotumika kwa ajili ya matibabu.
Jordan Curl; mtaalamu kutoka Kituo cha Uwekezaji na Utafiti wa Bangi cha nchini Israel amewaambia wajumbe wanaohudhuria mkutano wa...
Serikali imesema matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi bado ni tatizo nchini, huku yakishika kasi katika mikoa ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma.
Wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini), Ali Keisy (Nkasi Kaskazini) na aliyekuwa Mbunge wa Arumeru...
MATUMIZI ya dawa za kulevya aina ya bangi, yametajwa bado ni tatizo nchini, huku mkoa wa Mara ukiwa ni kinara katika kulima cha zao hilo ikifuatiwa na Tanga.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, ndiye aliyebainisha hayo bungeni...
Mmea wa bangi una matumizi mengi ya matibabu, ujenzi, kutengenezea dizeli oganiki na pia hufumwa nyuzi zinazotumika katika ushonaji. Utafiti kuhusu mbangi unaendelea kufumbua matumizi mengine zaidi. Shida yake kubwa ni kusababisha uraibu.
Majani ya mmea wa kike wa Mbangi hutumika kutengeneza...
Dah!
Kuna habari nimeiona BBC inaongelea kuhusu uhitaji wa bangi kwenye nchi za wenzetu kwa matumizi ya dawa nikahuzunika!
Watu wanaohitaji hii kitu ni wengi, Demand ni kubwa kuliko supply na hela wanatoa kupata kimsokoto ni kubwa sana. Which is a benefit for the farmers! Kwanini hatuioni hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.