bangi

  1. Yoda

    Sigara Vs Bangi: Kwanini bangi haramu na sigara si haramu?

    Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi? Tafiti zimeonyesha sigara ni...
  2. Analogia Malenga

    Tanzania yasema haina mpango wa kuruhusu kilimo cha Bangi

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Gerald Kusaya amesema Tanzania haina mpango wa kuanza kuruhusu kilimo cha bangi na badala yake amewataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Kamishna Jenerali Kusaya ameyasema hayo jijini...
  3. Analogia Malenga

    Morocco: Bunge limeidhinisha sheria inayohalalisha ukuzaji wa bangi kwa ajili ya matumizi ya tiba na viwandani

    Bunge nchini Morocco limeidhinisha sheria inayohalalisha ukuzaji wa bangi kwa ajili ya matumizi ya tiba na viwandani. Lengo ni kuingia katika soko la kimataifa linalokua la kimataifa, kukuza kilimo na kutoa ajirahasa katika maeneo ya vijijini ambayo hayana maendeleo. Morocco ni moja nchi...
  4. Analogia Malenga

    Mwaka 2019-2020 Serikali ilikamata cocaine na heroin kg 426.363, bangi na mirungi Tani 26.34

    Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha mwaka 2019 hadi 2020 jumla ya Dawa za Viwandani Kilo 426.363, pia bangi na mirungi Tani 26.34 zilikamatwa. Amesema Serikali imebaini mitandao ya...
  5. Kinoamiguu

    Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wavuta bangi uwanjani MECCO Kunduchi Mtongani

    Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye. Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii. Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao. Wananchi wanaumia wao wapo tu? Kama hawa mateja wanawashinda majambazi...
  6. IBRA wa PILI

    Morison amekuwa mtu wa masihara ila anapobadilika na kuwa siriaz, wapinzani husaga meno

    Ndvyo ilivyokuwa uko Ruangwa Simba sc dhidi ya Namungo akitokea benchi, Bernard Morison anafunga bao moja kali sana ambalo linawezekana likawa bao bora la ligi, Morrison amekuwa mtu wa masihara sana ila mara zote anapobadilika na kuwa siriaz wapinzani husaga meno, pole nyingi kwa watesekaji.
  7. Roving Journalist

    Serikali haijaruhusu Kilimo cha bangi

    Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Christina Rweshabura, ameyasema hayo leo mbele ya Wahariri wa vyimbo vya habari jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mpango kazi kwa ajili ya kutambua mchango wa wanahabari katika kutoa elimu kwa jamii kuhusu kuzuia na kipambana na dawa za...
  8. TheDreamer Thebeliever

    Tuipigie chapuo bangi (marijuana) bunge likubali kuwa zao la biashara

    Habari wadau..! Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina. Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana . Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
  9. Extrovert

    Serikali kuruhusu Bangi nchini?

    Katika kuzurula mitandaoni nimegundua kuna taarifa toka nipashe ikisema serikali yaruhusu kilimo cha ndumu! Je, ni kweli kuwa hilo limeazimiwa rasmi? ====== Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Christina Rwehabuza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mpango...
  10. GENTAMYCINE

    Wanafunzi wa Kidato cha 5 wanaanza lini Kusoma?

    Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia. Kiukweli 24/7...
  11. jingalao

    Kisimiri, Arusha: DC Muro afuatilia wakulima wa bangi usiku wa manane

    Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi. Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa. Eneo hili ni eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu...
  12. sky soldier

    Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

    Huyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana Siffa za huyu mtu 1. Alikuwa mtoro sana 2. Form 2 alianza kuvuta...
  13. Miss Zomboko

    New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi

    New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi baada ya Gavana Michelle Lujan Grisham kutia saini miswada miwili kuwa Sheria. Gavana Lujan Grisham amesema Sheria hiyo ni hatua kubwa kwa Jimbo lake. Bangi inayotumiwa kisheria itabadilisha...
  14. Mshuza2

    Je, hiki kiambata ni bangi halisi?

  15. DR SANTOS

    Je, bangi inaweza kufukuza majini?

    Poleni na majukumu wana JF, moja kwa moja kwenye hoja. Tunajua bangi (marijuana)ni mmea kama mimea mingine ambao unatokana na mbegu inayoitwa (cannabis) lakini ikitumika vibaya inaweza kukupa madhara, hasa ya kisaikolojia Kumekuwa na imani ya kwamba viumbe visivyoonekana kama majini vinaogopa...
  16. anonymous_blue

    Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

    Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika. Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
  17. Analogia Malenga

    Babati: Jela miaka 30 kwa kukutwa na bangi gramu 566.9

    Mahakama ya Wilaya ya Babati imewahukumu Alex Laurent (27) na Humphley Charles (25) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na misokoto 200 ya bangi yenye uzito wa gramu 566.9 Hakimu wa Wilaya, Jumaa Mwambago alianza kusikiliza kesi hiyo Novemba 19, 2018...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

    Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri. Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kuangalia mifugo, kuangalia nyumba nk Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona...
  19. Bushmamy

    Niwaaminishe vipi watu kuwa mimi sijawahi na sivuti Bangi?

    Jamani hili jambo linanisikitisha na linaninyima raha hadi sasa. Ni hivi miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma nilianza kufuga Rasta hadi namaliza chuo nipo na Rasta zangu ndefu tu. Nipo Nimeingia kitaa baada tu ya kutoka chuo nikaamua nipunguze wingi wa zile Rasta, yaani niwe na Rasta tano tu...
  20. Pdidy

    Wezi na wavuta bangi wamekithiri Kawe Mtoni, tunaomba Polisi mtusaidie

    Niliwahi andika miezi kadhaa, .... Nirudi kwa mkuu wa kituo Kawe, ndugu yangu naomba niwajulishe kuna wizi unatokea Kawe Mtoni na maeneo ya bar za Soweto mpaka kanisa la Victory. Kila siku wamama wanaporwa wanabakwa majuzi tumekuta nguo za ndani njian.... Vigenge vya wahuni mnavijua kule Mtoni...
Back
Top Bottom