Tatizo la matumizi na biashara ya dawa za kulevya limeendelea kuiathiri nchi yetu. Bangi imeendelea kuwa ni dawa ya kulevya inayotumika zaidi na ikizalishwa katika mikoa yote ya Tanzania Bara hususani katika mikoa ya Mara, Morogoro, Arusha, Tanga, Mbeya, Kagera, Ruvuma, Iringa na Njombe...
Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani.
Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa...
Wakili maarufu, George Wajackoyah, amezua gumzo hivi karibuni nchini Kenya. Hii ni baada ya kujitosa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kiti cha urais, kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwakani. Alipoibuka na moja ya sera yake ya kipekee, alipozungumza na wanahabari jijini Nairobi. Wajackoyah...
Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe
December 3, 2021 by Global Publishers
Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo...
Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga
Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
Kilimo Cha Bangi kinatumika nchi Mbalimbali na jinsi siku zinavyokwenda ndivyo Mataifa mengi zaidi yanaruhusu kulima n kuvuta Bangi. Tanzania sisi msimamo wetu ni kuwafunga wavutaji na wauzaji miaka 30, kuchoma moto mashamba nakutumia mabiliaoni kupambana na raia wanaolima wakauze kwenye soko la...
Kuna nyumba zimezoeleka miaka nenda rudi kuuza bangi na gongo mitaani, hadi sasa ukienda zinaendelea, unaweza kukuta watoto ndio wanaoziendeleza baada ya wazazi wao kustaafu.
cha ajabu mapolisi wapo, na tena huwa wanabadilishwa wanakuja wengine wapya.
Wote tunajua kuuza huu mmea ama gongo...
Haya Wewe pamoja na Usomi wako wote na Kujimwambafai Kwako kote kuwa Umeelimika Cheo cha Balozi au hata Vyeo vingine huna, hujavipata na unavisikia tu kwa Wengine katika Bomba.
Na si tu kwamba Bondia Mstaafu Maarufu duniani Mike Tyson ameteuliwa tu kuwa Balozi wa Bangi / Bange nchini Malawi...
Serikali ya Malawi kupitia Wizara ya Kilimo, imechukua hatua hiyo ikiwa ni miezi michache tangu iidhinishe kilimo na matumizi ya bangi nchini humo tarehe 27 Februari 2020.
Salaam Wakuu,
Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke.
Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai.
Wachagga...
Habari zenu ndugu zangu wa Jf ni imani yangu kwamba nyote mko salama na niwape pole kwa mihangaiko ya wiki nzima hakika kazi inaendelea.
Sasa ndugu zangu mojakwamoja twende kwenye mada yetu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Kumekuwa na stori stori nyingi mtaani kila mtu akisema lake...
Naiomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje Mimi ni mkulima wa mahindi na mpunga Nina jumla ya hekta 290 Ila za mahindi ni 150.
Kilimo cha mahindi kimenitia hasara Sana na kwa mwaka huu mbolea imepanda mno mfuko wa kilo 50 unauzwa laki na ishirini nahisi naenda kufilisika.
Ila...
Arusha bangi ni kama sigara tu, sio big deal, Mikoa miingine watu wakijua unavuta bangi huwa unaonekana kama jambazi hivi 😂
Watalii wa nchi mbali mbali waliojaa Arusha wanavuta kitu cha chuga.
Watu wazito, kuanzia mtajiri wa madini, ma ceo wa makampuni, wafanyabiashara wakubwa, n.k wanavuta...
MMEA WA BANGI NA FAIDA ZAKE KIAFYA
Mmea wa bangi umekuwa unatumika na baadhi ya jamii za dunia, Afrika na Tanzania pia tangu kale. Kwa Tanzania, wahadazabe wanatumia huu mmea.
Mataifa tofauti tofauti hapa duniani yameanza kuutumia huu mmea kwa matumizi mbali mbali yakiwemo matumizi ya kiafya...
Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO.
Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini.
Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
Serikali imeamua kubana zaidi matumizi ya bangi. Nchi nyingi zimegundua vita dhidi ya dawa za kulevya ni futile hivyo zimeamua kudecriminalize matumizi ya madawa ya kulevya. Kutumia madawa kwa baadhi ya nchi siyo kosa la kufungwa.
Nasikia nchi kama Ureno zimefanya hivyo, na matokeo yamekuwa...
AFUNGWA MIAKA 30 JELA KWA KUKUTWA NA BANGI - Ukiiba mabillion ya serikali utafungwa miezi miwili
MAHAKAMA ya Hakimu mkazi Pwani (Kibaha) imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Ridhiki Omary Marimbwa kwa kosa la kusafirisha kilo 21.86 za dawa za kulevya aina ya bangi.
Hukumu hiyo ilitolewa...
Ukipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na katika miji mingine mikubwa, aghalabu utawakuta vijana na baadhi ya watu wazima wamekaa katika makundi wakivuta bangi na kutumia dawa nyingine za kulevya bila wasiwasi wowote. Hili hutokea zaidi nyakati za jioni na usiku lakini pia sio...
Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari.
Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu.
Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.