bangi

  1. USSR

    Prof. Wajackoyah aomba Rais Samia amruhusu awekeze kwenye bangi

    Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais Samia ili awekeze katika kilimo cha bangi, profesa Wajackoyah aligombea uchaguzi nchi Kenya kwa sera ya...
  2. U

    Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

    Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi. Jana Tarehe 11.02.23...
  3. BARD AI

    Mtuhumiwa wa Bangi alalamika kufutiwa kesi mara 5 bila kuachiwa kwa miaka 8

    Hassan Banda anayedaiwa kukutwa na Bangi mwaka 2016, ameiomba Mahakama ya Kisutu imrudishe Mahabusu za Polisi kwa sababu mpaka sasa amewekwa Gerezani bila hukumu kwa kile kinachodaiwa ni "Upelelezi Haujakamilika". Banda amesema, licha ya Rais Samia kuagiza kufutwa kwa kesi zisizokuwa na...
  4. BARD AI

    Tanga: Wanafunzi 12 wakamatwa wakivuta Bangi vichakani

    Wanafunzi 12 wa shule ya Sekondari Handeni iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga wamekamatwa vichakani wakivuta bangi na kucheza kamari muda wa masomo hali iliyopelekea uongozi wa shule hiyo kuwasimamisha masomo kwa muda wa siku 14. Wanafunzi hao wamekamatwa kufuatia oparesheni maalumu ya...
  5. SYLLOGIST!

    Serikali acheni kukurupuka, wajengeeni uwezo badala ya kuwakandamiza wakulima wa bangi

    Naandika bila ya mpangilio au mtiririko maalum. Nimekurupuka na Jazba. Nimeona ni muhimu kuendeleza mjadala huu. Kuna .... Uzi huu ambao umetoa hoja zinazofanana na yaliyonitatiza roho yangu leo (Ukipata vidakika pitia huko) na baada ya kukutana na Uzi huu hapa, hususani kuhusu operesheni ya...
  6. Mganguzi

    Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  7. IamBrianLeeSnr

    Siyo bangi tu, hata video za utupu ni shida kubwa

    Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde. Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
  8. February Makamba

    Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

    Maldives! Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal? Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones zirudi kwenye hali ya kabla hazijawa stimulated na CBD ya bangi? Nlkuwa napiga dozi kwa siku mara 3...
  9. Norshad

    Leseni ya Utumiaji wa bidhaa zitokanazo na mmea wa Bangi

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo salama na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Nina swali ambalo pengine naweza pata majibu hapa, Mmea wa Bangi unatumika kama dawa kwa baadhi ya watu na wengine wanautumia kwa dhumuni la kujistarehesha kihisia si ndivyo? Sasa maswali yangu ni haya na...
  10. Suley2019

    Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya Wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi na kusema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa Wasanii hao. Akiongea na Waandishi wa Habari...
  11. NetMaster

    Uvivu nao ni aina ya ulevi kama uraibu wa pombe, uzinzi na bangi?

    Uvivu upo kundi la ulevi kama ilivyo kwa waraibu wa pombe, umalaya, bangi, sigara, n.k ? Ni ulevi upi wa ziada wavivu huupenda?
  12. JanguKamaJangu

    India: Polisi walaumu panya kula Kilo 200 za bangi zilizotakiwa kutumia kama ushahidi

    Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi. Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
  13. BARD AI

    Mtwara: Watu 151 wamekamatwa na kilo 82 za Bangi, lita 1915 za Gongo

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP Nicodemus Katembo amesema watu 4 kati yao walikutwa na Nyama ya Tandala kilo 21, Nyama ya Swala kilo 50 na Pembe za Ndovu vipande 4. Pia, watuhumiwa walikutwa na mitambo 10 ya PombeHaramu, Televisheni 7, Jenereta 1, Kiyoyozi 1, Godoro 1, Mbao Asili 76, Majiko...
  14. Analogia Malenga

    California - Marekani: Watawa walima bangi

    Wanawake hawa ni "Masista wa eneo hilo," wanaojulikana zaidi kama Watawa wa bangi. Wakiongozwa na Mtawa Kate, wanawake hao ni wanachama wa kundi linalojiita watawa wanaojitambulisha kama watetezi wa haki za wanawake, lakini muhimu zaidi, ni wafanyabiashara. Licha ya kuwa California...
  15. JanguKamaJangu

    Ujerumani mbioni kuhalalisha matumizi ya bangi kwa starehe

    Hatua hiyo inaelekea kukamilika kama iivyoahidiwa na Serikali ya Kansela, Chancellor Olaf Scholz na ikiwa itakamilika itakuwa Nchi ya pili katika Umoja wa Ulaya kuhalalisha matumizi hayo baada ya Malta. Lengo linatajwa kuwa ni kwa ajili ya burudani kwa watu wazima ambapo matumizi...
  16. Allen Kilewella

    Hivi uharamu wa Gongo, Bangi na kitimoto ni nini?

    Tangu nakua mpaka sasa nishazeeka nasikia kuwa Gongo, Bangi na Kitimoto ni haramu. Hivi uharamu wake upo kwenye nini hasa? GONGO Uharamu wa Gongo upo kwenye vikorombwezo vinavyotumika kuitengenezea? Kwenye vyombo vinavyotumika kutengenezea ama kunywea? Upo kwenye sehemu inaponywewa au kwa...
  17. BARD AI

    Biden atoa msamaha kwa waliokamatwa na Bangi

    Rais Joe Biden amewasamehe Wamarekani wote ambao wamepatikana na hatia katika ngazi ya kitaifa ya kumiliki kiasi kidogo cha bangi. Maafisa wanakadiria takriban watu 6,500 walio na hatia ya kupatikana na bangi watafaidika na msamaha huo. Kwa sasa hakuna mtu aliyefungwa kupitia shirikisho kwa...
  18. BARD AI

    Morocco yatoa vibali 10 vya kwanza vya kilimo cha Bangi

    Vibali hivyo kwa wakulima vinawapa ruhusa kisheria kulima na kuandaa mazazo ya Bangi viwandani na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima kutoka maeneo ya Al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya matibabu na viwandani, kwa mujibu wa sheria...
  19. Sildenafil Citrate

    Polisi wakamata wanawake wawili wakiwa na misokoto 1,220 ya bangi

    Wanawake wawili wakazi wa Mkoa wa Arusha wanashikiliwa na polisi wa Mkoa wa Manyara, kwa tuhuma za kukutwa na misokoto 1,220 ya dawa za kilevya aina ya bangi. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, George Katabazi akizungumza na Mwananchi Digital leo jumanne Septemba 27 amesema wanawake hao...
  20. Sildenafil Citrate

    Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
Back
Top Bottom