bangi

  1. Artifact Collector

    Vijana waleta fuji kutaka aliyetengwa na kanisa azikwe kwa taratibu rasmi za kanisa

    Ujumbe uko kwenye video hapa chini kwa vijana wa Arusha
  2. Lycaon pictus

    Watu wangeruhusiwa kupata supu ya bangi

    Kiukweli bangi haina shida kama inavyotangazwa vibaya. Bangi haina tofauti na kahawa. Tena bangi inafaida sana. Moja ya faida ya bangi ni kukata hangover. hakuna dawa nzuri ya hangover kama bangi. Napendekeza watu waruhusiwe kupata supu ya bangi ili kukata hangover. Assume supu ya mbuzi imeungwa...
  3. hempustler_007

    SoC02 Nguvu ya Bangi na Hempu kwa Afrika

    “Fikiria watu wanalima hempu na wanazalisha kila kitu kuanzia chakula mpaka nishati bila petroli”- Josh Tickell Wakazi wa Afrika hawakati miti na kutumia vinyesi vya wanyama kupika kwa sababu hakuna mbadala wa kuni na kinyesi cha wanyama, kupitia mtambo wa gasifaya. Kila kaya inaweza...
  4. BARD AI

    Mbunge wa Viti Maalumu ang'ang'ania Bangi ihalalishwe

    Mbunge wa Viti Maalum Jaquelin Msongozi (CCM) amependekeza sheria ya Tanzania kuhalalisha bangi itumike kama Tumbaku. Msongozi ametoa kauli hiyo leo Septemba 14, 2022 bungeni wakati akichangia muswada wa sheria ya Mabadiliko ya sheria mbalimbali namba 2 wa mwaka 2022. Hata hivyo si mara ya...
  5. hempustler_007

    SoC02 Prof. George Wajackoyah na sera yake dhidi ya bangi

    “Hempu ni hitaji la kwanza la ulazima kwa utajiri na ulinzi wa nchi…huduma kubwa/ nzuri ambayo inaweza kupewa taifa lolote ni kuongeza mmea wenye manufaa kwenye utamaduni wake.” –Thomas Jefferson, Raisi wa tatu wa Marekani na muasisi wa taifa hilo. Mgombea Uraisi wa Kenya Prof. G. Wajackoya...
  6. S

    Ili kuondokana na tozo, Serikali ihalalishe gongo, kilimo cha bangi na kurasimisha pombe za kienyeji

    Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu. Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla yetu. Kwa Afrika mashariki nchi ya kwanza kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha kubeba abiria ni...
  7. BARD AI

    Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
  8. JanguKamaJangu

    Dkt. Mfisi: Bangi inatumika zaidi Tanzania

    Kamishna wa Kinga na Tiba kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Dkt. Peter Mfisi amesema dawa ya kulevya inayoongoza kwa kutumiwa zaidi hapa Nchini ni bangi ikifuatiwa Heroin. Amesema sehemu ya Heroin inayoingizwa Nchini Tanzania husafirishwa na kupelekwa...
  9. sky soldier

    Utafiti usio rasmi: Kuna vurugu na malumbano kidogo sana ama hakuna kabisa kwenye ndoa zenye wanaume wanaovuta bangi tofauti na wanaokunywa pombe

    Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k. Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
  10. JanguKamaJangu

    Wahadzabe wasikitika kunyimwa bangi kushiriki sensa

    Wakati Serikali ikitoa nyamapori ya nyumbu 20 kwa jamii ya wawindaji, waokota matunda, wakusanya mizizi na warina asali ya wahadzabe wa bonde la Yaeda Chini Wilayani Mbulu Mkoani Manyara ili wahesabiwe, baadhi yao wamelalamika kunyimwa bangi katika mgawo huo. Hii ni mara ya pili Wahadzabe hao...
  11. R

    Wakati Nigeria ikitengeneza $3.7bn, South Africa $ 1.7 bn kwa mwaka kwa kilimo halali cha bangi, Mwigulu na Samia wanazidi kuwakamua ' Damu' Wa- Tz.

    Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM. Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio...
  12. Willima

    Matumizi ya bangi na hatari ya saratani ya mapafu

    Bangi ni mmea ambao unaotumika kama dawa na burudani, hali ya kisheria ya matumizi ya bangi kimatibabu na matumizi ya burudani yanatofautiana kati ya majimbo. Watu wanaofikiria kununua au kutumia bangi wanapaswa kuangalia kwanza ikiwa ni halali katika jimbo lao. Watu wengi hutumia majani...
  13. enzo1988

    Siku ya kwanza kuvuta bangi

    Niliona milima na mabonde wewe je?
  14. JanguKamaJangu

    Zimbabwe yaruhusu bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa ya Zimbabwe imeruhusu uuzwaji wa bangi katika maduka ya dawa ambapo itakuwa zikitumika kama sehemu ya dawa, ambapo pia wauzaji wa rejereja na jumla waohitaji kufanya biashara nje ya Nchi hiyo kuomba kibali Serikalini. Mkakati huo ni sehemu ya kuongeza pato ikiwa ni...
  15. mtwa mkulu

    Kenya 2022 Mfahamu George wajackoyah: Mgombea urais Kenya anayesisimua kwa Bangi na sumu ya Nyoka

    Mgombea George Wajackoyah Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
  16. RoadLofa

    SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  17. L

    Tanzania yaanza msako wa kilimo cha bangi

    Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema Jumatano kuwa heka 21 za bangi zilizogunduliwa katika wilaya za Arumeru na Monduli mkoani Arusha...
  18. JanguKamaJangu

    Gari la Serikali lanaswa likisafirisha Bangi, dereva asimamishwa kazi

    Gari la Halmashauri ya Arusha linashikiliwa na Polisi Mkoani Kilimanjaro baada ya kukutwa likisafirisha shehena ya bangi kinyume cha sheria za Nchi. Dereva wa gari hilo, Athuman Magio, anashikiliwa na polisi mkoani humo na tayari amesimamishwa kazi kwa kufanya biashara haramu. Chanzo: Ngilisho...
  19. Ndengaso

    Bangi Dawa na mirungi iruhusiwe kama chanzo cha Mapato

    Kutokana na Ugumu wa Maisha ni muda sasa serikali iangalie namna mbadala ya kuwasaidia wananchi wake kujikwamu kimaisha! Soko la bangi dawa lonakadiriwa kufikia USD Billion 344 kwa mwaka ( Zaidi ya Mara Tano ya uchumi mzima wa Tanzania )...
  20. JanguKamaJangu

    Vijana wanaamini wakivuta bangi wanapata Samaki wengi Ziwa Victoria

    Imani ya matumizi ya bangi kwa wavuvi katika Ziwa Victoria imetajwa kuwa tishio kwa vijana na watoto. Vijana hao huamini kuwa wanapotumia dawa ya kulevya aina ya bangi, hupata samaki wengi sambamba na ongezeko la nguvu za kufanya kazi nyakati za usiku. Uchunguzi wa Nipashe umebaini kwamba...
Back
Top Bottom