Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria
Rwanda inatarajia kukuza mapato ya kusafirisha bidhaa nje na kufaidika na soko la bangi la dunia ambalo lina thamani ya dola bilioni 345 sawa na...
MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura ‘Lady JayDee’ ameingia kwenye hatari ya kufungiwa wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina la ‘One Time’ baada ya kudaiwa kuhamasisha matumizi ya uvutaji wa bangi.
Hatua hiyo imekuja, baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), kuthibitisha...
Mtuhumiwa mmoja pekee, Kanael Akyoo (50), ametiwa mbaroni na kikosi maalum cha kupambana na dawa za kulevya, akidaiwa kukutwa na magunia matatu na viroba tisa vya bangi nyumbani kwake.
Julai 6 mwaka huu, Rais John Magufuli aliagiza kuondolewa kazini na kushushwa vyeo kwa aliyekuwa Mkuu wa...
Nilikuwa sijui kama bangi ina ladha tofauti tofauti, sasa jana kuna muuzaji mmoja wa Bangi huko Marekani kanipa kazi ya kumwandikia review za species 100 za bangi ambazo alinipa majina yake, ili aweze kuuza Amazon na kwingineko.
Hivyo nikaingia chimbo kabla ya kuanza kuandika hiyo review...
Kwa jinsi vita ya kupambana na bangi ilivyo ngumu kuna umuhimu vyombo husika kufuatiria matamasha mbalimbali ya wasanii kujua nini kinachofanyika,kwa tukio lile la tamasha la uzinduzi nyimbo za kuisifu CCM lazima bangi ilikuwa inapulizwa mle mle uwanjani na Mr. Polepole akisikilizia halufu...
Wataalamu na watafiti nchini Marekani wameonya wavuta bangi kua sio salama kwa moyo wako.
Chama cha madaktari wa Moyo Marekani wamesema uvutaji bangi sio salama kwa moyo wa binadamu, hivyo kabla hujaanza kuvuta bangi shauriana kwanza na wataalamu wa afya.
Weed is not good for your heart...
Shehena ya Bangi yanaswa Arusha ikisafirishwa nchi jirani
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limekamata shehena ya Bangi inayokadiriwa kufikia magunia 15 yakisafirishwa kwenda nchi jirani kwa kutumia gari dogo la abiria aina ya Noah.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ACP Salumu Hamduni amesema...
Power of Meditation!
Nguvu ya bangi iko kwenye maficho yake!
Vile mvuta bangi anapovutia bangi chooni hiyo ndo inamfanya awe na mental illness
Vile mvuta bangi anapovutia bangi msituni hiyo ndiyo inamfanya ajione mwamba
vile mvuta bangi anapovutia bang beach, Starehe ya upepo wa beach huzani...
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mh Jerry Muro amesema watendaji wa vijiji wamekuwa na tabia ya kuwataka wakuu wa wilaya watoke ofisini kwenda kuchoma moto mashamba ya bangi ilhali wao madc walishakatazwa na Rais Magufuli.
Muro amesema hayo wakati wa mkutano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi...
Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais...
Katika miaka ya hivi karibuni serikali za nchi za Afrika Mashariki zimepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mihadarati na kupongezwa na jumuiya ya kimataifa. Kwa sasa upatikanaji wa dawa za kulevya kama vile Cocaine, Heroinna dawa nyingine kama hizo umepungua sana.
Mwaka 2017 Lesotho...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, atoa siku mbili kwa viongozi wa vijiji vitano mkoani humo kujisalimisha polisi baada ya operesheni iliyofanywa na jeshi hilo, kubaini hekari 100 za mashamba ya bangi.
Vijiji hivyo amevitaja kuwa ni Bunduki, Misengere, Kododo, Vinile, na...
" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku "
@afandesele_king, Msanii wa Muziki
Chanzo Taarifa...
Mchungaji Lusekelo amesema yeye ni miongoni mwa wachungaji bora 10 barani Afrika hivyo anapoongea jambo wananchi ni lazima wamuelewe.
Lusekelo anasema Rais Magufuli ameitikisa dunia kwa namna alivyoweza kudhibiti Corona, kadhalika wale walioongea baada tu ya Rais kuongea na wananchi ni wavuta...
Malawi imekua nchi ya hivi karibuni iliyoko Kusini mwa Afrika kuhalalisha kisheria ukulima na uuzaji wa ndani na nje wa bangi.
Wanaotumia bangi kama kiburudisho wanaiona bangi kama , "Malawi Gold", yaani Thahabu ya Malawi kama wanavyoiita wenyewe, kuwa moja ya dawa nzuri.
Lakini maafisa...
Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi.
Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na...
Spika aongoza wabunge kuunga mkono.
Mabeberu wanahitaji zaidi hili zao,hasa CANADA.
Uganda wapewa USD500M kutoka EU kuendeleza zao la bangi.
Angalizo.
Tusiwaamini sana mabeberu kwa uhitaji wa hili zao la bangi. Kama vp walime wao maana wanayo ardhi.
Siku wakigoma kuinunua bangi na kauli za...
Kiukweli ni muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi ilimwe na kuuzwa atleast kwa watu maalum wenye magonjwa yasiotibika na watu wenye mahitaji maalum.
Vilevile pia kuna soko kubwa sana nje ya nchi kwa walimaji wa bangi ambao wanaweza kuliingizia taifa kwa kulipa kodi na kutengeneza ajira kwa...
Serikali imesema tayari imepata wawekezaji wawili ambao wanataka kuwekeza nchini kiwanda cha kuchakata mafuta ya bangi yanayotumika kwa matibabu.
Hayo yalielezwa jana bungeni Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angella Kairuki wakati wabunge wakichangia mijadala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.