Kuna hizi bar hasa za daraja la kati na chini paka huwa wametamalaki wanakodolea macho, wanajipitisha kwenye miguu, wanangurumia wateja na wengine wanawarukia hadi kuwaparua wateja ili wawape nyama au samaki.
Sasa paka wenyewe huwa katika hali mbaya sana ya kiafaya, wengine wakiwa na chawa...