MMILIKI wa baa ya Tale mjini Njombe, Jackson Mgeni (35), mkazi wa Mji Mwema mjini hapa, amefariki dunia kutokana na kuchomwa kisu tumboni na anayedaiwa mteja wake, Emmanuel Shiwa (32).
Mfanyabiashara wa madini na mkazi wa eneo la Uwanja wa Ndege mjini Njombe, anadaiwa kutenda ukatili huo baada...