barabara mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati - Arusha na maeneo ya Njiro barabara ni mbaya kama tupo kijijini

    Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati, Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya Njiro karibu na Fiber Board imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu ya barabara, inaonekana kama tupo kijijini. Usafiri wetu ni mkubwa Bajaj kutokana na ubovu wa barabara hiyo. Wakati maeneo mengine kama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mheshimiwa Temba: Old Moshi Tela barabara mbaya sana Serikali tuzingatieni tupate lami

    Hapa ni kijijini kwetu old Moshi Tela, Serikali tuzingatieni tupate lami jaman daah 🙌 tumezaliwa barabara ipo hivyo hivyo mpaka tunazeeka bado ipo hivyohivyo. Cheki apo mvua imenyesha kidogo kisamba chake c mchezo. Diwani na Mbunge wa Old Moshi zingatieni Wananchi wanalalama na kulia Old Moshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…