KERO Mheshimiwa Temba: Old Moshi Tela barabara mbaya sana Serikali tuzingatieni tupate lami

KERO Mheshimiwa Temba: Old Moshi Tela barabara mbaya sana Serikali tuzingatieni tupate lami

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Hapa ni kijijini kwetu old Moshi Tela, Serikali tuzingatieni tupate lami jaman daah 🙌 tumezaliwa barabara ipo hivyo hivyo mpaka tunazeeka bado ipo hivyohivyo. Cheki apo mvua imenyesha kidogo kisamba chake c mchezo.

Diwani na Mbunge wa Old Moshi zingatieni Wananchi wanalalama na kulia Old Moshi Tela kwanini haiwekwi lami?






Screenshot 2026-03-16 215928.jpg

​
 
Wa old mosh inawezekana tatizo lenu ni ubishi , mambo za kutegemea serikali naona kama nikujichelewesha tu
 
Wa old mosh inawezekana tatizo lenu ni ubishi , mambo za kutegemea serikali naona kama nikujichelewesha tu
Dah kaka ubishi how? Yaani ubishi upi huo unasababisha wasijengewe barabara? Kama huru, mbokomu, wana barabara kwanini hawa wakose?
 
Dah kaka ubishi how? Yaani ubishi upi huo unasababisha wasijengewe barabara? Kama huru, mbokomu, wana barabara kwanini hawa wakose?
Chocho kama hizo sehemu nyingine uchagani wamejiongeza kwa kuchangishana
 
Jiongezeni angalau kwa kuchangishana mjiwekee kifusi cha kokoto. Serikali iko busy kununua magari ya kuzuia maandamano hela za barabara hakuna
 
Chocho kama hizo sehemu nyingine uchagani wamejiongeza kwa kuchangishana
Nadhani upafaham moshi vizuri ww. Most of all nadhani barabara za moshi vijijini huzijui.

Hiyo sio chocho ni major road ya miaka na miaka.
Jamaa yupo right kabisa
 
Sijaelewa swali lako
Kwanini unadhani tatizo la barabara old Moshi ni kwasababu ya ubishi na kutegemea serikali? Halafu, je, hujui kwamba uendelezaji wa miundo mbinu kama barabara ni jukumu kubwa kifedha kiasi kwamba kwa Tz ni serikali tu peke yake yenye uwezo wa kutatua changamoto kama hii kwa haraka?
 
Apa ni kijijini kwetu old Moshi Tela, Serikali tuzingatieni tupate lami jaman daah 🙌 tumezaliwa barabara ipo hivyo hivyo mpaka tunazeeka bado ipo hivyo hivyo. Cheki apo mvua imenyesha kidogo kisamba chake c mchezo.

Diwani na mbuge wa Old Moshi zingatieni wananchi wanalalama na kulia Old Moshi Tela kwanini haiwekwi lami?

Mkuu umeshindwa kabisa kutoa mada kwa njia ya picha.
Unaitumia video kama picha ya mnato.
Tujifunze kutumia simu kwa kuleta ujumbe wa picha inaoelezeka.
 
Back
Top Bottom