barabara mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msitari wa pambizo

    Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  2. Not_James_bond

    Mbeya ni jiji lenye barabara mbovu kuliko zote Tanzania

    Nimekuwa mkazi wa Mbeya kwa kipindi cha zaidi ya miaka minne sasa, lakini kati ya majiji yote niliyowahi kutembea katika kipindi chote, sijawahi kuona jiji lenye barabara mbovu kama Mbeya. Kuna barabara za lami zimekuwa na mashimo makubwa kwa zaidi ya miaka miwili, na ni barabara zenye umuhimu...
  3. sajo

    TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
Back
Top Bottom