Nimekuwa mkazi wa Mbeya kwa kipindi cha zaidi ya miaka minne sasa, lakini kati ya majiji yote niliyowahi kutembea katika kipindi chote, sijawahi kuona jiji lenye barabara mbovu kama Mbeya. Kuna barabara za lami zimekuwa na mashimo makubwa kwa zaidi ya miaka miwili, na ni barabara zenye umuhimu...