Barabara ya Tabata Kimanga for years hazipitiki na ndo mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwi kwenye madimbwi iwe barabara kuu au ya bonde la mchicha.
Magari yanaharibika aiseee. Wamemuondoa Mbunge ambaye hakufanya lolote kijanja maana watu wamechoka only to give her a seat on another table 🙌🏽🙌🏽🙌🏽...