KERO Responded Barabara ya Tabata Kimanga for years haipitiki, mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwiii

KERO Responded Barabara ya Tabata Kimanga for years haipitiki, mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwiii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
photo_2026-03-13_09-12-04 (3).jpg
Barabara ya Tabata Kimanga for years hazipitiki na ndo mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwi kwenye madimbwi iwe barabara kuu au ya bonde la mchicha.

Magari yanaharibika aiseee. Wamemuondoa Mbunge ambaye hakufanya lolote kijanja maana watu wamechoka only to give her a seat on another table 🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Kama Tabata kuko hivo na ni Mjini inakuaje maendeleo ya huko ndanindani au vijijini jamani.
photo_2026-03-13_09-12-04 (2).jpg
Pia soma:
~
DC Mpogolo: Kipindi cha mwezi mmoja Barabara ya Tabata Bima–Kimanga itakuwa na lami
 
Back
Top Bottom