barabara ya tabata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabata (segerea road) inazidi kuwa mbaya- TARURA mna mpango gani?

    Kile kilichoanza kama nyufa ndogo kwenye lami, sasa kimegeuka kuwa kero ya kila siku kwa watumiaji wa barabara hii. Kila kukicha, mashimo mapya yanaongezeka, lami inazidi kumomonyoka, na kuziacha gari, bajaji, bodaboda, na watembea kwa miguu wakiingia kwenye mtihani mkubwa wa usalama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…