Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda.
Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi...