Habari wana JF.
Nimehamasika fungua huu uzi baada ya kukoswa koswa leo na ajali, barabarani kweli kuna mengi na nisehemu inayobeba roho za wengi. Ukiwa umekosea step kidogo tu kuna uwezekano wakubadiri au kumaliza historia ya maisha yetu au ata kuharibu vyombo vyetu tunavyo vipata na kuvitunza...