Hii barabara imeharibika vibaya, kuna madaraja yamekatika, maji yameondoa udongo njiani. Sasa, hakuna gari linaloweza kupita. Urefu wake ni kama 20 km
Nafikiri mbunge wa Mkuranga Mh Ulega analijua au vipi.
Hii njia sana ni muhimu kuungnisha Kimbiji/Pembamnazi, tuseme ni njia fupi hata ukitoka...