A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.
Kuna shida ya ubovu wa barabara ya kutoka Mombo kwenda Lushoto ina mashimo mashimo na pili hakuna ufuatiliaji wa nauli za bei mfano bei ya kilometa moja ya lami ni shilingi 30-40 lakini wao wanachaji 200 kwa kilometa moja ambao mfano mombo bangala ni km5 bei 1000 Mombo Soni ni km 10-15...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano...!
Wanaohusika na ukarabati wa barabara ya Kimanga, hasa kipande cha kuanzia Bima hadi Mawenzi wawajibike tafadhali, au mnasubiri mpaka madereva wagome kuketa magari huku?? Au ndio chambo ya uchaguzi wa mwakani??
Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa.
Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.
Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo...
Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM.
Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
====
Serikali...
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro unaendelea baada ya awali kuripotiwa kuwa na mashimo ambayo yalikuwa yakisababisha Madereva wa Mabasi na Costa kutishia kugoma kutoa huduma.
Pia Soma - Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma...
Ni miaka mingi sana imefika Tangu taifa letu lipate uhuru toka likiitwa Tanganyika na leo ni Tanzania baada ya kuunganisha jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya watu wa Tanganyika.
Kumekuwa na mipango mingi sana tangu mwaka 1964 ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania.
Kwa kiasi...
Nipo lodge moja ya Kyauke hapa naona maajabu ya dunia.
Kuna zoezi la bomoa bomoa nahisi wanatengeneza barabara.
Kuna nyumba baada ya lodge ya Kyauke njia ya kwenda Bonyokwa imeandikwa mita 3.4 ina ukuta wa kijani.
Mpaka sasa hajavunja, alichofanya aliita Tanroads wakapima tena ghafla...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa.
Aidha, Bashungwa amewaelekeza...
Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali.
Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe.
Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busunzu imemomonyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee kwa watumiaji.
=========
UFAFANUZI WA TANROADS
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Narcis...