barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Ujenzi wa Barabara ya Sanzate - Nata Wafikia 45%

    UJENZI WA BARABARA YA SANZATE - NATA WAFIKIA 45% Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya Sanzate - Nata iliyopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 45 na inatarajiwa kukamilika ifikapo...
  2. KERO Kipande cha barabara cha Boko Bulumawe kimetelekezwa wananchi tunapata shida kupitia

    Wananchi wa Mtaa wa Bulumawe kata ya Bunju tunakutana na adha kubwa ya kupita katika barabara baada ya barabara hiyo kuanza kutengenezwa, lakini wameichimba tu na hakuna kinachoendelea hadi sasa zimepita week 3. Barabara hiyo imekuwa ni changamoto kupitika kwa usafiri wa aina yeyote na hata kwa...
  3. KERO Malori yanaegeshwa karibu na makazi ya watu Tabata, yanaharibu barabara na kuvamia maeneo ya wazi

    Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo; 1. Kuharibu barabara 2. Kuziba njia kwa kupaki vibaya au kuharibika pamoja na kuziba njia zilizokuwepo hapo awali...
  4. Waziri Bashungwa Akagua KM 20 za Barabara wa Miguu, Aagiza TANROADS & TARURA Kushirikiana Kusimamia Ubora

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara ikiwemo kushirikiana katika upimaji wa ubora na viwango vya...
  5. Barabara za mitaani kuamua uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

    Kwa maoni yangu, moja kati ya mambo ambayo yataamua hatima ya chaguzi za wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, ni barabara za mitaani. Mvua kubwa za 2023/2024 zimeacha miundombinu hiyo ikiwa imeharibika sana, na ni kero kubwa kwa wananchi
  6. Waziri Bashungwa simamia na kukamilisha miradi ya barabara za Dar au ujiuzulu na kumpisha anayeweza

    Niaje waungwana Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia. Kila alipopelekwa alionesha kupamudu vizuri kiutendaji, na kiusimamiaji lakini sasa huku alipoletwa sasa hivi (wizara ya ujenzi)...
  7. M

    KERO Rushwa barabara ya Singida - Nzega imekithiri. Magari yanajaza kupita uwezo

    Hatari! Hatari! Hatari! Ndugu zangu Watanzania mtuombee tufike salama Mwanza muda huu tunaelekea Nzega Gari nililopanda nikitokea Dar limejaza abiria balaa wengine wamesimama, wengine wamepanda kwenye daladala hili kukwepa traffic wa hapo mbele kisha watarudi kwenye BUS kuendelea kujazwa...
  8. TANROADS Yatoa Ufafanuzi Kuharibika kwa Barabara ya Kigoma

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental). Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi...
  9. A

    KERO Kero Barabara ya Kilwa eneo lijulikanalo kama Kokoto kuelekea daraja la Mzinga jijini Dar

    Naomba kuulizia, ni nini hasa kinachoshindikana kwa serikali kukijenga kipande hiki cha Barabara kisichozidi hata kilomita mbili na kuondokana na usumbufu unaosababisha msongamano wa magari katika eneo hili? Kipande hiki ni chembamba na kina mteremko mkali na daraja ambapo mara kwa mara...
  10. TANROADS inaendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano Barabara ya Somanga

    Timu ya wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanaendelelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara katika eneo la Somangafungu Mkoani Lindi kutokana na daraja hilo linalounganisha barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara kukatika na kusababisha...
  11. KERO Barabara Tegete A ni kero, kama wameshindwa kuboresha watuambie Wananchi tujichange

    Wakazi wa Tegeta A (maarufu kwa Bedui) tuna kero ya Barabara, huu ni mwezi wa tano sasa unaelekea wa sita, barabara ni mbovu na inatuumiza Watumiaji. Barabara ninayoizungumzia hapa ni ile ya vumbi kutoka kwenye lamı ya kwenda Madale mpaka Centre maarufu kwa jina la Bedui. Barabara imechimbika...
  12. Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Kufungua Fursa Mafia

    UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KUFUNGUA FURSA MAFIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuifungua wilaya ya Mafia kwa kujenga miundombinu bora ya barabara ili kuchochea fursa za...
  13. M

    DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  14. Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

    Hii ni picha ya bango la mradi wa ujenzi na ukarabati wa kilomita mbili (2) Goba kwa Awadhi ambayo imesambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii. Mradi huu ni wa ukarabati na ujenzi wa mitaro ambapo unatokana na nguvu za wakazi wa eneo hilo. Inaelezwa wakazi hao wamekubaliana kujenga mitaro kwa...
  15. P

    Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
  16. Bilioni 101.2 kujenga Barabara ya Kahama-Kakola KM 73 kwa kiwango cha lami

    Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora, Kagera na Kigoma. Mkataba huo umesainiwa kati ya Wakala wa Barabara...
  17. Bilioni 101.2 Kujenga Barabara ya Kahama - Kakola (KM 73) kwa Kiwango cha Lami

    BILIONI 101.2 KUJENGA BARABARA YA KAHAMA-KAKOLA KM 73 KWA KIWANGO CHA LAMI Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora...
  18. Barabara kutoka Cairo Misiri hadi capetown Afrika Kusini, hapa Tanzania inakatisha mikoa ipi?

    Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine. Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
  19. Kamati ya Bunge ya Miundombinu Yakagua Barabara ya Noranga - Itigi

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YAKAGUA BARABARA YA NORANGA- ITIGI, YAAGIZA MRADI UKAMILIKE KWA WAKATI. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia mkandarasi kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Noranga-Itigi (km...
  20. Mwigulu Nchemba: Tanzania ni mfano mzuri wa kuigwa duniani kwa huduma bora za barabara, maji na umeme

    Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. ---- Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…