Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema umefika wakati wa kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuangalia namna ya kutengeneza barabara za zitakazodumu muda mrefu maeneo ya vijijini.
Mwigulu amesema hayo alipojibu hoja ya dharura ya mbunge wa Rorya, Jafar Chege aliyeomba mwongozo...