barack obama

  1. Khanji kapoor

    Biden ni dhaifu sana, kina Obama wanakwambia usigombee mwachie Kamala na wewe unakubali?

    Sijawahi kuona Rais wa USA duni kama huyu. Mfumo wa USA, Biden angemaliza kipindi chake vizuri tu. Afya ya Biden haina tatizo lolote Ila toka yule Obama abahatike kuwa Rais basi anajiona ndio mtu muhimu kwenye democratic. Wamarekani wengi wamepiga kura za hasira kuwakataa walio nyuma ya...
  2. Nigrastratatract nerve

    Barack Obama alisema, "We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek."

    Barack Obama alisema, "We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek." Hii ni sehemu ya hotuba yake maarufu aliyotoa mnamo 2008 wakati akizindua kampeni yake ya urais. Maneno haya yanaonyesha wito kwa wananchi kwamba mabadiliko wanayotaka hayataji kwa nguvu za nje bali...
  3. Mturutumbi255

    Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  4. JanguKamaJangu

    Dada wa Barack Obama ashiriki katika Maandamano, arushiwa mabomu ya machozi

    Auma Obama, dada wa kambo wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amerushiwa mabomu ya machozi na Polisi wakati wa mahojiano na Kituo cha CNN alipokuwa akihojiwa wakati akishiriki katika Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha. Akizungumzia Maandamano hayo ya kupinga Muswada wa Fedha 2024...
  5. 2 of Amerikaz most wanted

    Orodha ya nyimbo bora za Barak Obama kwa mwaka 2023

    Barack Obama unveils his favorite songs of 2023 Are y'all rockin with any of these songs? RAP
  6. carnage21

    Obama miongoni mwa waliopigwa 'stop' kuingia Urusi

    Ijumaa ya tarehe 19/may/ 2023 Urusi ilitoa orodha ya wamarekani 500 ambao imewapiga marufuku kuingia nchini humo na miongoni mwao ni Rais mstaafu Barack Obama. Orodha hiyo imetolewa na Serikali ya Urusi ikiwa ni kama kulipiza kisasi baada ya serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden kuiwekea...
  7. Civilian Coin

    From now onwards, I, DJ. DON NALIMISON deny to marry to Barack Obama daughters coz of internal maturity reasons

    DJ. DON NALIMISON: I WILL NOT MARRY ANY OBAMA'S DAUGHTERS BECAUSE THE TIME I WAS PLANNING IN 2016 BECOME TOO LATE TO A TIME BEING. In a year 2016 God showed me in vision to get marry with Sasha Obama, I announce to the World through my Facebook account to Marry Sasha Obama with the body which I...
  8. Background Check

    Uzungu kwenye mawazo ya Marais wa Afrika

    Nianzie mbali kidogo ili hoja yangu ieleweke. Historia ya mtu mweusi kutamani kuukwaa urais wa Marekani haijaanza na Obama. Mnamo 1848, Frederick Douglass alikua mgombea wa kwanza wa urais wa mwenye asili ya kiafrika (African- American) huko marekani, hakufua dafu system ikamtema. Mnamo 2009...
  9. Geza Ulole

    Familia ya Barack Obama inaomba msaada wa kurudisha mwili wa Kezia Obama

    MY TAKE Aisee hapa jina la Barack Obama linatumika kumchafua Barack Obama!
  10. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Barack Obama aliingia madarakani akibeba matumaini makubwa sana ya watu weusi wa Marekani na waafrika wengi kwa ujumla. Watu walifurahi sana na nyimbo nyingi zikaimbwa kusherehekea ujio wa nabii na shujaa huyu mweusi. Huku kwa mataifa yetu tulitembea kifua mbele tukijua we have a Big brother...
  11. ONTARIO

    Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

    Salute! Siku kadhaa nilibandika uzi hapa kuhusu siri kubwa iliyofichwa katika kifo cha Adolf Hitler. Nilipanga kudondosha mifululizo kadha kujadili ulimwengu wa Hitler, lakini nilipata ombi kutoka mmoja wa wachangiaji kwamba niweke huu uzi ninaouandika sasa. Nami nahisi ni busara kufanya hivyo...
  12. nngu007

    Why Obama is visiting Tanzania

    By ELISHA MAGOLANGA Tanzanias strategic position in the continent, its abundant natural resources and countering Chinas advances to Africa have been cited as some of the reasons why President Barack Obama chose to visit Tanzania in his tour of Africa next month. Mr Obama, who is the first...
Back
Top Bottom