Habari wapendwa wa JamiiForums.
Naomba mwenye elimu ya kutengeneza barafu na juice ya matunda mchanganyo wa nanasi ndizi na parachichi aweze kunisaidia, email yangu ni yasinijawadu@gmail.com
Asante sana.
Pia soma: Juisi mbalimbali nzuri kwa afya yako
Za mida?
Nimekua nikifikiria mno juu ya ili swala bila mafanikio
Japo ni wazi kila mzizi wa jini uko connected mpaka kwenye ubongo naisi imnazifahamu nerves vyema?
Basi kila jino mdomoni mwako liko connected na ubongo lakini turejee kwenye kichwa cha uzi kilivyo sema apo juu
Kwa wale...
Kama barafu inauwezo huo inamaanisha nini?
Je ni nyuzi za baridi kua kubwa mno?
Kama barafu inaweza kuelea juu ya maji mda wote huo inamaanisha kua hata wewe unaweza kukaa au kufanya lolote duniani
Amka dunia inakutizama
SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam
Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam.
Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi.
Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana...
Habari za Mchana
Mwenzenu nimewiwa kujiunga na upadre ila nimependelea shirika hili la wajesuit, Naomba kwa wenye ufahamu wanisaidie nawezaje kujiunga na vigezo gani vinahitajika.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.