Wakazi wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wakizungumzia hoja ya kuzorota kwa hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo.
Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa wamesema kuwa licha ya kuwahi kutokea kwa baadhi ya matukio ya uhalifu, hali ya usalama imeendelea...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu UVCCM Taifa Ndg Baraka Zambi amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani kata ya Ilemi Halmashauri ya jiji la Mbeya.
Akizungumza baada ya kurejesha fomu hiyo Julai 01, 2025 katika Ofisi za CCM kata ya Ilemi Zambi ameeleza nia yake ya kugombea udiwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.