Kuna mwamba ambaye alipotea baharini akiwa safarini kwa mda wa mwezi mmoja,alipoulizwa ni kitu gani ambacho ulikihitaji sana wakati wa changamoto yako ya kupotea,alijibu ni maji na chakula
Naam,wakati mwingine huwezi jua baraka zako mpaka pale zinapokupotea,ndo unajua khe kumbe maji nayo baraka...