Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote,
daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe.
Wasiohusika wasibughudhiwe, wasiguswe, wasilazimishwe kushiriki maandamano, wasizomewe wala kudhulumiwa chochote...