barani afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Rais Samia Ndiye Kiongozi Bora Na Mwenye Ushawishi Kwa Sasa Barani Afrika

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli na uhalisia, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi na kiongozi Bora Barani Afrika, Ndiye kiongozi anayefuatiliwa Sana kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka na wenye kugusa maisha ya watanzania na waafrika,Rais Samia Ni mwana wa Afrika...
  2. L

    Kumalizika kwa ziara ya Qin Gang ni mwanzo mzuri kwa diplomasia ya China barani Afrika kwa mwaka huu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang amemaliza ziara yake ya siku tano barani Afrika ilivyomfikisha Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, na Misri. Hii ni ziara ya kwanza ya kikazi ya Bw. Qin Gang tangu ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya nje wa China, na imefanyika wakati ushirikiano kati ya...
  3. BARD AI

    Ripoti Henley Passport Index 2023: Hati 10 za Kusafiria zenye nguvu zaidi Barani Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya 10 katika nchi za Afrika zenye Passport zenye nguvu zaidi huku ikiwa nafasi ya 74 duniani na uwezo wa kuingia katika maeneo 72 kwa Viza au bila Viza. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Henley Passport Index, kupitia Mamlaka ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (IATA)...
  4. Sildenafil Citrate

    Kila Mtu ana Haki ya Kujieleza na Kutoa Maoni

    Siku hizi Vifaa vyetu vya kielektroniki vimekuwa fursa kwetu kutoa maoni, kushiriki Mijadala na kutoa Hoja mbalimbali Mitandao ina nafasi muhimu katika kuhakikisha Watu wanabadilishana Mawazo na kupaza sauti zao Uhuru Wa Kujieleza na kutoa Maoni hulindwa na Katiba za Nchi nyingi Barani Afrika...
  5. J

    60% ya Raia Barani Afrika hawapo Mtandaoni

    Afrika ni eneo liliounganishwa na Intaneti kwa kiwango kidogo zaidi, ikielezwa takriban 60% ya Raia hawapo Mtandaoni. Hii inatokana na sababu mbalimbali ikiwemo gharama, Ujuzi kuhusu matumizi yake pamoja na uhaba wa Miundombinu unaokwamisha ufikiaji wa Huduma hiyo. Barani Afrika na Duniani...
  6. saidoo25

    William Ruto wa Kenya moja ya wakopaji maarufu barani Afrika kwa sasa

    WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA. George Michael Uledi. Kyela,Mbeya. Januari 9,2023. Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto...
  7. L

    China yaendelea kuwa mchocheaji mkubwa wa TEHAMA barani Afrika

    Sekta ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano ya habari (TEHAMA) inatajwa kuwa ni mapinduzi ya tano ya viwanda duniani. Wadau wa maendeleo wamekuwa wakitaja sekta hii kuwa ndio msingi na mwelekeo wa siku zijazo duniani, lakini pia kama nchi yoyote itabaki nyuma kwenye sekta hii, uwezekano wa...
  8. BARD AI

    Ripoti: Hali ya Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo Barani Afrika

    Nchi 13 za Afrika (24%) Bado zinatekeleza Hukumu ya Kifo katika Sheria zake na Utendaji wake wakati Nchi 25 sawa na (46%) zimemeifuta kabisa. Nchi 15 za Afrika (28%) ikiwemo Tanzania zinaruhusu Adhabu ya Kifo kwa uhalifu wa kawaida, lakini hazijaitumia kwa zaidi ya miaka 10 na baadhi zimeanza...
  9. Dj Aiman

    Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  10. L

    Hatari za kiusalama zinaweza kuwa bomu linalokaribia kulipuka barani Afrika kutokana na mgogoro kati ya Russia na Ukraine

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema silaha zilizopelekwa katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine zinamiminika kwenye eneo la Sahel barani Afrika kupitia biashara ya magendo, zikichochea nguvu za makundi ya kigaidi na kutishia amani na usalama wa bara hilo. Ametoa wito wa kuharakisha...
  11. Natafuta Ajira

    Kwa sasa Yanga ndiyo timu inayocheza mpira mzuri barani Afrika

    Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi na kucheza kaunta attack. Mtihani wa benchi la ufundi kwa sasa ni kuja na mbinu za kuwafunua...
  12. N

    Bima kwa wote: Tanzania kuweka rekodi Barani Afrika katika Sekta ya Afya

    Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika. Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
  13. L

    Uwekezaji wa China barani Afrika katika muongo mmoja uliopita umelenga kutatua moja kwa moja changamoto za moja watu wa Afrika

    Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, China imehimiza uwekezaji katika nchi mbalimbali za Afrika unaolenga kutatua moja kwa moja changamoto zinazowakabili watu wa Afrika. Kupitia kauli mbiu yake ya “kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja”, China imeweza kuanzisha programu na miradi...
  14. BARD AI

    Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

    PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo Ana miaka 89 Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982 Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7 2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka 2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya...
  15. BARD AI

    TOP 10: Nchi 10 tajiri zaidi barani Afrika

    Pato la Taifa kwa kila Mwananchi ni mojawapo ya vipimo bora zaidi vya utajiri wa nchi kwani hutoa uelewa wa jinsi raia wa kila nchi wanavyoishi kwa wastani, ikionesha uwakilishi wa wingi wa bidhaa na huduma zinazopatikana kwa kila mtu. 1. Seychelles GDP Per Capita (in US$): $12,648 2...
  16. L

    Fadhili Mpunji: Mipango hewa ya juhudi za Umoja wa Ulaya kudhoofisha nguvu ya ushawishi wa China barani Afrika zaonekana kugonga mwamba

    Mkutano wa kilele kuhusu Afrika Kuzoea mabadiliko ya tabia nchi kuzoea mabadiliko ya tabia nchi “African Adaptation Summit” ulifanyika mwanzoni mwa mwezi Septemba mjini Rotterdam Uholanzi. Mkutano huo ni sehemu ya juhudi za nchi za Ulaya kuimarisha ushirikiano na nchi za Afrika la kukabiliana na...
  17. L

    Je, Marekani ina nia ya dhati kujenga Miundombinu barani Afrika ama ipo kwenye ushindani tu na China?

    Na Pili Mwinyi Ni miaka tisa sasa tangu rais wa China Xi Jinping atangaze pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” duniani, ambalo mbali na mambo mengine pia linajikita zaidi katika uwekezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu. Pendekezo hili lilitolewa kwa ajili mahsusi ya kuanzisha zama mpya ya...
  18. S

    SoC02 Mabadiliko Afrika

    Iliaminika kuwa bara la Afrika lipo nyuma katika kila kitu. Dhana ambayo hadi hii leo bado inatumikakulididimiza bara la afrika na waafrika kwa ujumla. Kipindi cha ukoloni karne ya 19 hadi 20 africa ilitawaliwa na wazungu. Swali amabalo najiuliza kwa nini babu zetu hawakukata?. kwa nini...
  19. beth

    Uwazi na Uwajibikaji ni muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa barani Afrika

    Kwa mujibu wa Toleo la 10 la Global Corruption Barometer (GCB) – Africa, watu wengi barani humo wanaona Rushwa imeongezeka katika Nchi zao Vilevile, idadi kubwa ya Wananchi katika Mataifa mbalimbali Afrika wanaona jitihada za kupambana na tatizo hilo bado haziridhishi Ili kukabiliana na...
  20. L

    Je, ni nani wa kulaumiwa kwa msukosuko wa chakula barani Afrika?

    Mkuu wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa USAID Bibi Samathan Power alisema kwamba "uvamizi" wa Russia nchini Ukraine umesababisha msukosuko wa chakula katika Pembe ya Afrika, na hatua ya China ya kuhodhi chakula imezidisha msukosuko huo. Kutokana na athari za mabadiliko ya hali...
Back
Top Bottom