Tiktok kuna content za hovyo zinazokejeli dini ya kiislamu haswa kwenye Huu mfungo (mwezi mtukufu).
Vijana wajinga wajinga wasiojua hata uislamu ni Nini ?!! Hata hawajui mfungo Wa Ramadhani ni Nini?!!
Wanarusha maudhui wakiwa wamevalia Kanzu zao huko tena maudhui Mengine ukitazama mpaka...