NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Tiktok kuna content za hovyo zinazokejeli dini ya kiislamu haswa kwenye Huu mfungo (mwezi mtukufu).
Vijana wajinga wajinga wasiojua hata uislamu ni Nini ?!! Hata hawajui mfungo Wa Ramadhani ni Nini?!!
Wanarusha maudhui wakiwa wamevalia Kanzu zao huko tena maudhui Mengine ukitazama mpaka Unajiuliza Je uislamu upo hivi kweli?!!
Najua mnachukulia kama Maigizo Lakini kuna watu wanaona Kuwa hiyo ni kweli kabisa Kuwa uislamu upo hivyo .
Kuna maudhui ya kipumbavu nimeyaona kijana mmoja (jina kapuni) " ilipigwa adhana ya kufungulia badala ya kufuturu alimuita mke wake akamwambia twende kwanza nikakufuturu wewe (fanya sex) ndiyo nitakuja kufuturu tambi"
Yaaani yapo mengi maudhui ya hovyo kabisa na hayafai hata kusimulia hapa
Hayo yote yanayoendelea huko TikTok BAKWATA mbayaona na mmekaa kimya hamtaki hata kutoa tamko hamuoni kama dini inapotoshwa na inachezewa ?!!!
Hili jambo siyo la BAKWATA tu, hata wanazuoni Wapenda camera Acheni UNAFIKI kujifanya hamuoni yanayoendelea huko kwenye Mitandao.
Maoni yangu : BAKWATA fuatilieni hili huko TikTok vitendo vya kukashifu dini (Islamic) vinavyofanywa na vijana Wa kitanzania ni vya hovyo Mnapaswa kuwakemea vikali mno
Msisubiri tu yule msanii mwenye Rasta (afande sele) aseme hampendi mungu, ndiyo mjitokeze na Vitisho vingi vya kumsomea Dua, Mnapaswa kujitokeza kwenye Kila jambo linalohusu dini yenu kuchafuliwa siyo Kuwa bize kwenda kufuturu kwa wasanii huku maadili na misingi ya kiislamu inachafuliwa kwa makusudi.