Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kikao cha 46 cha Baraza la Mawaziri la Umoja wa Afrika (AU) kinachofanyika tarehe...