Natabiri huenda kutakuwa tena na mabadiliko madogo kwenye wizara nyeti mbili kama sio tatu.
Katika mabadiliko hayo mawaziri wawili watapumzishwa na kuwekwa mawaziri wengine.
Upo uwezekano Mkuu kufanya uteuzi maalumu kwa sababu Pana za kimasilahi ya Taifa.
Utabiri huu utatimia pale itampendeza...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita.
Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri, lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na...
Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU - Tanganyika.
Video: By Mwananchi Digital
--
Rais Samia ameteua Baraza la Mawaziri...
Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria.
Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo.
Kanda ya Ziwa...
Kwa kawaida inafahamika kwamba ikitokea Waziri Mkuu amejiuzulu, na Baraza zima la Mawaziri linavunjwa.
Swali langu ni kwamba, Ikiwa Waziri Mkuu atajiuzulu na wakati huo pakiwa na Naibu Waziri Mkuu, Je Baraza la Mawaziri litavunjwa ama halitovunjwa kwasababu tayari patakuwa na Naibu Waziri Mkuu?
Rais Samia amemteua Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Y. Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango
Wengine walioteuliwa kuwa Wajumbe wa Tume hiyo ni Omar Issa ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela.
Pia, Ami R. Mpungwe ambaye ni Balozi...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Agosti 30, 2023 amefanya mabadiliko Baraza la Mawaziri ambapo Waziri mmoja na Manaibu wawili wameachwa na nafasi zao zimechukuliwa na wengine.
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula
Miongoni mwa walioachwa ni...
Heshima sana wanajamvi,
Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda. Kuendelea kumbakiza wizara hiyo hiyo ilikuwa ni kumharibia kisiasa.
Najua watu wengi wamekimbilia kushangaa...
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2...
Sisiemu kujivua gamba kwa kulivunja baraza la mawaziri!
Inapokuja swala la kuendelea kubaki madarakani sisiemu huwa haina cha msalia mtume na huchukua hatua stahiki kwa kuwamwaga makada wake walioshindwa kusoma alama za wakati.
Ni dhahiri sera ya ubinafsishaji wa taasisi za umma siyo chagua...
Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida.
Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu.
Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala...
Wakuu ni kwa nini nchini kwetu waziri mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika na hali yeye siyo kiongozi wa baraza la mawaziri wala aliyewateua kama kwa nchi kama Uingereza?
Kwa ufupi
Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya serikali, mipango ya kitaifa, sera, na...
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
MHE. MUNDE TAMBWE APIGILIA MSUMARI MAAMUZI YA TIMU YA MAWAZIRI NANE NA BARAZA LA MAWAZIRI KUHUSU UGAWAJI MAENEO KALIUA
Mbunge Viti Maalum Wanawake Mhe. Munde Abdallah Tambwe amemshukuru Waziri wa Maliasili na Utalii kwa tamko lake la kusema Maamuzi ya Timu ya Mawaziri Nane (08) ya Baraza la...
Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana.
Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la mawaziri. Mtu msomi ambaye ni hazina kubwa tunamtoa badala yake unaweka watafuta kwa nguvu nyingi...
Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi.
Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza huko waendako, waziri yupo hana analofanya kurescue situation
Kwenye nishati napo speed yakuwapa...
Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa. Aidha, wakurugenzi ambao halmashauri zao zilipewa hati chafu nao watafyekelewa mbali na panga la Mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.