baraza la mawaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia vunja Serikali ya Magufuli, unda ya kwako kabla hujachelewa

    Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima. Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake ivunje serikali ya awamu ya Magufuli na uunde ya kwako. Kwani si umeshashika hatamu kwenye chama, au...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri likibadilishwa Kalemani aondolewe kwa hoja ya Tanesco kutokaguliwa, Mwanasheria Mkuu kusimamia awamu ya 5 kuvunja sheria

    Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri. Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia. Kuna uwezekano huko kuna...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza kizazi kipya cha uongozi ni jambo muhimu, ila Baraza la Mawaziri liangaliwe upya

    Tulizoea toka enzi ya Nyerere mawaziri walikuwa wanadumu kipindi kirefu utadhani hakukuwa na watanzania wengine wenye uwezo wa kufanyakazi Tunaweza sema alikuwa anaweka misingi imara ya nchi ktk nyanja mbali mbali hivyo ilimfaa kufanyakazi na wazoefu. Kwasasa nchi imekua, technology imekuwa...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

    Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa) Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?" Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? " Ramadhan Kareem!
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Kudhibiti wizi wa mali za umma Baraza la mawaziri lisiwe na siri

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna maelezo zaidi ya kusema 'Ni maamuzi ya Baraza' Amesema suala hilo linafanya kuwepo kwa mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma, hivyo ni vizuri kuwa na...
  7. Mahebe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano yautawala wake Uteuzi huo ni kama ifuatavyo...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri mwaka huu

    Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Naupongeza uteuzi wa Mabalozi wapya uliofanywa na Rais Kikwete na kira gazes TBC1 hivi punde. -------- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wafuatao kuwa Mabalozi:- i) Mhe. Phillip MARMO, ameteuliwa kuwa Balozi nchini CHINA. Kabla ya hapo Mhe. Marmo...
Back
Top Bottom